Usi catch feelings sana just relax🤣mamako
Love is a source of incomeYani mkaka wa watu anajituma kumhudumia mdada.
Alaf all in all anakutishia atakuacha.kisa na maana kuna lengo fulan hujamtimizia.
Ata yale umefnyia hakumbuk.yaan kwa nn mna tutesa hivi.
FamiliaDah mimi sasa hivi naona kabisa mapenzi siyawezi kabisa, niwe na mwanamke wa kutiana nae tu inatosha aisee 😂 😂 😂
Pole muongezee tena huenda mambo yakawa mazuri 🥰
🎶🔊Ooh! Mapenzi kilioo, nenda waulize wenzio, ni mdudu wa sikio, akikung'ata husikii la yoyote 🔊🎶
View: https://youtu.be/tyMu6dwynB8?si=-l1-NwnktQcqvjYd
Hata kama, mbona huyo huyo analiwa na mtu mwingine kwenye Hilo wrong tundu bure kabisaSi amuache! Kuna watu wana muda wa kubembeleza aisee😅
Wanawake tuna uwezo mkubwa tu wakupenda tena tunanyenyekea balaa, ujeuri wote pembeni sa huyu sjui vp
Kwani ukiwa na mpenzi lazima utoe kitu ili uexperience penzi? Ameamua tu kutoa kwa mapenzi yake mwenyew huenda alizama kwenye wrong tundu 😂
Kwakweli ni ushamba shem lake😃💃🏽
Aka catch flights asi catch feelings sio😂Usi catch feelings sana just relax🤣
Acha yawatese wapumbavuYani mkaka wa watu anajituma kumhudumia mdada.
Alaf all in all anakutishia atakuacha.kisa na maana kuna lengo fulan hujamtimizia.
Ata yale umefnyia hakumbuk.yaan kwa nn mna tutesa hivi.
Ukiwa boya boya stayback lazima yakunyonge na yakuue.Mapenzi yatawaua vijana 😂😂💔💔
Pole mkuuYani mkaka wa watu anajituma kumhudumia mdada.
Alaf all in all anakutishia atakuacha.kisa na maana kuna lengo fulan hujamtimizia.
Ata yale umefnyia hakumbuk.yaan kwa nn mna tutesa hivi.
Hayana muongozo wanasema..Ukiwa boya boya stayback lazima yakunyonge na yakuue.
Hata kama ila ni kukaza ukiona redflag piga chiniHayana muongozo wanasema..
Muache kijana alie kuondoa machungu!akikomaa ataacha!😅Hata kama ila ni kukaza ukiona redflag piga chini
Namuombea akue harakaMuache kijana alie kuondoa machungu!akikomaa ataacha!😅
Hey familiaFamilia
Kwahiyo mapenzi ndio yametubananga mpaka yametushida 🤝😀Hey familia