Hata mimi nimeshangaa kweli. Huku kwetu mngeta tangu jana askari wa JKT kambi ya Chita wanapambana na wananchi kugombea adhi. Inasemekana kuwa kuna watu wameuawa na wakuu wa majeshi na mawaziri wameenda huko leo asubuhi, lakini inaonekana sio story ya maana
endelea na msimamo huo ndugu ni mzuri sana. Ila baadae usirudi tena hapa kuomba ushauri baada ya kushindwa kwenda kwa ndugu zako kuomba msaada kwa kuwa uliwanyima slot katika familia yako
Hongera kwa kuthubutu na kuwa na malengo mazuri. Lakini unahitaji kujipanga zaidi, maana hapo ndio kwanza kazi imeanza. Kwenye kazi ya kujenga nyumba ya kuishi gharama kubwa iko mwishoni (finishing). Ingekuwa unajenga banda la kufugia, hapo ungeweza kusema umefikia mwisho. Kaza buti mjomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.