Recent content by chetuntu

  1. C

    Matajiri wa Kiislamu Jengeni Vyuo Vikuu

    Msiwatangue udhu wenzenu wapo kwenye toba.
  2. C

    Lugha chafu kwa wanandoa

    Jaman ndoa hz me nimeshuhudia mume anamwambia mkewe" nilipoteza mamilion wakati unaumwa mbwa we" mwanamke akajibu nilikuomba.Baada ya kujibu mke akazimia. Busara yahitajika sana.
  3. C

    Waraka wa Pili wa Pascal Mayalla.Maisha Binafsi.

    Nimesikitika sana . Umefanya vema kuweka mambo hadharani. Hii ni tabia mbaya kuchafuana. Pole sana na kwa familia.Mungu akupe ujasiri zaidi
  4. C

    Hivi Tanzania tulipoteza wanajeshi wangapi vita vya Tanzania na Uganda

    Me pia nimejiuliza ni wanajesh wangapi wa tz walipoteza maisha. Halaf wengine walikuwa vijana wadogo sana walikusanywa na kupewa short time training wakaingia vitani . Kweli nch ilikuwa na uzalendo wa hali za juu.
  5. C

    Kumbe Burundi ni kuzuri hivi

    Mmmh makamba si waha tu hao? Haya bhana anzia kusalimia; namahoro, gute!
  6. C

    Tanzia tanzia

    Poleni wafiwa wote.
  7. C

    Tangazo kwa wahehe wote

    naunga mkono hoja, mada ni ya kudhalilisha.
  8. C

    UMEME WAKATIKA UWANJA WA TAIFA!!!Ngeleja jiuzulu

    Bado kuna ambulance ndio yamulika ni fedheha tupu, yanga wanapewa medal gizan nchimbi katoa mijicho!
  9. C

    CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

    Umeme umekatika ni balaah, tanesco hao jamani daaah!
  10. C

    CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

    Jaman shati la nchimbi mmmhh!
  11. C

    CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

    Maftaha kapata yellow card hapa.
  12. C

    CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

    Huyu Taita bado hajatulia. Dk ni 32 yanga wanapata faulo.
  13. C

    CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

    umeona shemeji wana kasi sana
  14. C

    CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

    Naona yanga tunashambuliwa.
Back
Top Bottom