C chetuntu R I P Jan 10, 2011 949 109 Aug 1, 2011 #41 Jaman ndoa hz me nimeshuhudia mume anamwambia mkewe" nilipoteza mamilion wakati unaumwa mbwa we" mwanamke akajibu nilikuomba.Baada ya kujibu mke akazimia. Busara yahitajika sana.
Jaman ndoa hz me nimeshuhudia mume anamwambia mkewe" nilipoteza mamilion wakati unaumwa mbwa we" mwanamke akajibu nilikuomba.Baada ya kujibu mke akazimia. Busara yahitajika sana.