Rais kikwete kuchorwa kwenye zulia la kukanyagia kwa uchafu wake anastahili??

hivi raisi wa nchi anapochorwa kwenye zulia la kukanyagia mns akili yake iko kama zulia lakukanyagia
je huyu mhe kumtuma mkewe apokee zulia lenye sura yake anastahili??
Kwenu wadau naomba maoni kablayakuwakilisha itv saa mbili ka sorobo tfdl

Aika Rua
 
Cha kushangaza mkewe anapokea kwa tabasamu kubwaaaaa
alichekelea cheki imeandikwa alfu 38500 badla ya million tatu sembuse hiyo ambayo atumii shida kuchungulia kama kadanganywa tena ama lah
 
Hii picha imenikumbusha Wimbo wa Inno Mizizi na Fifi Moto unaitwa "Kiuno viuno" kuna sehemu ukiwa wachanganya... wanaimba "Kosa la kwanza; Lipi? Kumshika Rais na kumtia sugu sugu...nk" nadhani hilo ni kosa
 
Pdidy unaweza kufanyia mpango na mimi nikapata hilo zulia? choo changu zulia lake limechoka nahitaji kununua jipya.

Pls Pdidy nisadiie contact za huyo Greathinker aliyegundua hilo zulia la huyo Fisadi
 
Hilo ni zulia la ukutani jamani. Mimi nimelipenda sana, nataka kujua uwezekano wa kutengenezewa kama hilo kwa picha ya familia yangu...
 
Hilo ni la kutundika unanini wewe.

Au mswala wa kuswalia FaizaFoxy?
Nadhani huu ni muondelezo wa kuboronga mambo. Kwanza tuliona rangi za Bendera ya Tanzania zimechorwa kwenye zulia la Bunge. Tafsiri ni kwamba wabunge wakoo juu sana na ndio wanakanyaga bendera? I have no doubt hili zulia la Kikwete whichever way you want to look at it is a dreadful taste!
 
Mlitaka Kikwete akanyagwe mara ngapi? Kwa mafisadi Kikwete ni zuria. Waulize akina Lowassa, Chenge, Rostam hata huyo mkewe anayepokea ukweli huu kwa furaha ya ajabu. Heri Kikwete wangemchora kwenye tissues za chooni ingenoga sana.KULALEKI!
 
Back
Top Bottom