Recent content by Chester

  1. Chester

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kwenye ranks za Fifa mwaka huu Tanzania tuko juu ya Kenya 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
  2. Chester

    Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Ukusanyaji mkubwa wa mapato TRA haimaanishi moja kwa moja uchumi mkubwa au vyanzo vingi vya mapato. Dodoma ni makazi ya serikali hivyo biashara nyingi na shughuli za kiuchumi zimesajiliwa rasmi kwenye mfumo wa kulipa kodi TRA tofauti na miji mingine ndo maana unaona makusanyo ya Tra yako juu...
  3. Chester

    Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Kwenye swala la kiuchumi (mapato na uzalishaji)ni ngumu sana Dodoma kushindana na miji kama Arusha, Mwanza na Dar es salaam kwa sababu miji hii imeendelea kutokana na kuwa na shughuli nyingi za kiuchumi na mzunguko mkubwa wa pesa ila kwenye mpangilio Dodoma haitakua na mpinzani maana imepata...
  4. Chester

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Naona kisesa inaenda kubadilikia 🔥🔥🔥 https://x.com/salumawadh/status/1891516440710090814?s=46
  5. Chester

    Mwanza City: The Photo Gallery

    https://x.com/officialmkapa/status/1890441865620513194?s=46
  6. Chester

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    https://x.com/sholard_mancity/status/1889990219778445680?s=46
  7. Chester

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Mwanza city🔥🔥🔥 https://youtu.be/_aXFpZe7ao8?si=pEaYtWUg5AEUp4_M
  8. Chester

    Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    https://www.instagram.com/reel/DFnc76StzTZ/?igsh=ZXN4NWZ6dTVmMmdr Lake Victoria Tourism
  9. Chester

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Ok kumbe unataka residential areas kama Magomeni huku
  10. Chester

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Dar es Salaam
  11. Chester

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Mwanza City
  12. Chester

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Mwanza City [emoji91][emoji91][emoji91]
  13. Chester

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Inaewezekana Mombasa kimajengo ikaizidi Mwanza japo nayo inajengeka na kuja kwa kasi pia ila kwenye miundombinu sidhani na kama ikiizidi basi gepu sio kubwa kama unavyohisi naona hii miji inaendana kwa kiwango flani hivi MWANZA TANZANIA PICHA YA JUU 4K DRONE PHANTOM 4 PRO V2.0 / RAMALEE DRONE...
  14. Chester

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Mwanza City[emoji91][emoji91][emoji91]
  15. Chester

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Ndio naona zinafukuzana kabisa na baada ya dunia kufunguliwa kwa jinsi tunavyopokea watalii wengi kwa sasa tegemea Arusha kukua kwa kasi maana kuna uwekezaji utakuja huko kama hoteli (Kempiski niliona wana plan hiyo) n.k
Back
Top Bottom