Recent content by chengbi

  1. chengbi

    Nauza nissan xtrail mil9.5

    nimecheka sana eti maji yashaingia ruba hayaogeki sisi kwetu ilongelo kuna kabwawa kanaitwa mtambuko tulikuwa tunapaka mafuta ya mgando halafu unaingia kuoga hapo ruba hakushiki unakuwa unateleza
  2. chengbi

    Naona ukimya umetawala kuhusu hali ya Tundu Lissu

    boss kwasababu unajua kidogo ila siyo kiundani
  3. chengbi

    Naona ukimya umetawala kuhusu hali ya Tundu Lissu

    Hii ishu haitaki maneno mengi
  4. chengbi

    Naona ukimya umetawala kuhusu hali ya Tundu Lissu

    Zile risasi zilikuwa na sumu ya DS wataalamu wa sumu wataelewa but tumuombee ila hiyo sumu 98% huwezi pona Bali ni kwa majaariwa ndomana unaona tupo kimya hatutaki maneno mengi know msije mkagundua antidote
  5. chengbi

    Tunajifunza nini toka kwa mfalme Suleiman?

    tutafutie ulete mrejesho
  6. chengbi

    Tunajifunza nini toka kwa mfalme Suleiman?

    kwani alizikwa wapi nasikia ukichota mchanga wa kwenye kaburi lake tatizo la nguvu za kiume utalisikia tyu
  7. chengbi

    Ushauri: Maombi kwa Tundu Lissu yafanyike makanisani na msikitini hakuna atakayekusumbua

    Hivi kwanini hawakutumia Bomu angekuwa ameshaomba pooo muda
  8. chengbi

    Wanaume kuogopa wanawake wenye pesa

    Ilishanitokea nilikuwa na sister mmoja mwenye pesa zake kwa muda mfupi nilimiliki macheni ya gold na simu kila aina ila duu akikwambia Leo usitoke ukatoka mbona shida nikaamua kuachana na umarioo
  9. chengbi

    Hebu tuweke court room drama

    serikali:tumekamata kutokana na udanganyifu wa almasi ambao ni tofauti na kiwango tulicho hakiki mwanzo mchokozi
  10. chengbi

    DCI akiri utata miili ya viroba, ni ile iliyokutwa ukielea baharini

    kwa ninavyohisi walikuwa wabongo wazamiaji wa kwenye meli mchokozi
  11. chengbi

    Picha: Je hii inawezekana Bongo kwa Polisi kutaniwa?

    hawapendi mazoea(dharau) mchokozi
  12. chengbi

    Picha: Je hii inawezekana Bongo kwa Polisi kutaniwa?

    Huwa hawakubali kusogelewa na raia mchokozi
  13. chengbi

    Picha: Je hii inawezekana Bongo kwa Polisi kutaniwa?

    Kwa hawa polisi wetu kwanza asingeweza hata kukaribia hayo maandishi mchokozi
  14. chengbi

    Mrejesho namba 2: Siku 45 nje ya puli, aibu hii itaisha lini?

    Nilikuwa mpiga puli mzuri kwa siku nilikuwa napiga had Mara 3 ila nashukuru kunajamaa alinifundisha mbinu ya kuacha na kweli ilinisaidia mchokozi
Back
Top Bottom