Picha: Je hii inawezekana Bongo kwa Polisi kutaniwa?

Picha: Je hii inawezekana Bongo kwa Polisi kutaniwa?

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
28,441
Reaction score
38,432
c9c13ad68ee0552f56a310e9b40e36bd.jpg


Tusaidiane wana Bodi. Unadhani nini kingemtokea huyu ndugu kama kitendo hiki angekifanya hapa kwetu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Twende na uhalisia wa jambo!! Picha hiyo imepigwa wakati gani?

Ni sawa na Simba aliyefugwa na kuwazoea watu kisha ikapigwa picha na kuulizwa ingekuwa Simba wa Tanzania ingekuwaje?

Hivi unalinganisha askari polisi wa Kenya na Tanzania? Kwanza ukitaka kujua utofauti angalia zana zao za kazi ni bora Mara 100 ukilinganisha na kwetu.

Kwann sababu wao ni jeshi la mapambano na RAIA kwa muda mrefu, hivyo kila wakati wako modern.
 
Polisi ccm unawajua wewe wakipewa order na mkuu wao wa magogon,?

Anawavutisha cha arusha kwanza, wakifika wanawaza na kujiona maiko kapensi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwepo pale Jangwani siku UKAWA wanahitimisha kampeni yao.

Umati wa watu uliokuwepo pale, huku Barbara ya Morogoro ilitapika watu, gari la polisi na Mapolisi walikuwa WAPOLEEEE ogopa saana nguvu ya umma.
 
kamaa waosha gari la manji na waimba kwaya wa gwajima hawakutakiwa kuonekana sijui huyu ingekuaje

ila hongera kawa Uhuru jamaa kabadilisha kabisa mtazamo wa watu Kenya
 
Back
Top Bottom