Naona ukimya umetawala kuhusu hali ya Tundu Lissu

Mbowe alisema mtulie taarifa mtapata kila baada ya wiki moja full stop!

Wakumbushe wenzako huko lumumba kwamba kamanda hatokufa kwa sababu ya mlichomtendea, kinachofuatia ni kupona tu na kurudi vitani kupambana nanyi wabakaji wa demokrasia...
 
Kuna ukimya kabisa Katika vyombo vya habari kuhusu hali invyoendelea ya Mbunge Tundu Lissu huko Nairobi.

Wala hakuna umma kupata taarifa kama ilivyokuwa awali ...vipi upepo huu umegeuka ghafla hivyo?

Get well soon Tundu Lissu.
Taarifa wanazificha chadema wenyewe, wanashindiwa Nini kupiga Nae picha tumuone avyoimpruvu na sauti yake tuisikie?.
Na wasiwasi kama huyu jamaa yupo hai.
Pengine kachari halafu jamaa wanaendelea kuzichanga Kwa kisingizio cha matibabu ya mfu tayari.
Haiwezekani mpaka Leo iwe tu eti anaimpruvu bila kapicha amefunikwa shuka au sauti yake tusiisikie, nasema impossible, kuna namna hapa si bure
 
Akimuona mkewe na watoto wake inatoshaa ina faida gani muuwaji kumuona mgojwaa ?
 
Zile risasi zilikuwa na sumu ya DS wataalamu wa sumu wataelewa but tumuombee ila hiyo sumu 98% huwezi pona Bali ni kwa majaariwa ndomana unaona tupo kimya hatutaki maneno mengi know msije mkagundua antidote
 
Back
Top Bottom