Hebu tuweke court room drama

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
Sasa tuweke Court Room Drama

Umesema umetaifisha Almasi kwa sababu Mwadui walitangaza thamani pungufu:

Serikali: ndio

Soma hii karatasi:
Serikali: nimesoma

Imeandikwa na nani?

Serikali:imeandikwa na serikali ya jamhuri ya muungano kupitia wizara ya nishati na Madini

Unaelewa maana ya provisional value?

Serikali; ndio,ni thamani ya awali

Kwa hiyo thamani halisi ingejulikana kwenye mnada?

Serikali: ndio

Kwa hiyo uliposema hawakutaja thamani halisi,hawa mwadui wangejuaje thamani halisi kabla ya mnada?

Serikali:kimya

Kamishna wa Madini alitoa kibali cha kusafirisha?

Serikali:ndio

Kwa hiyo taratibu zote zilifatwa?

Serikali: ndio

Kwa nini ulitaifisha kama unajua thamani halisi ingejulikana Belgium na taratibu zote zilifatwa

Serikali: kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
serikali:tumekamata kutokana na udanganyifu wa almasi ambao ni tofauti na kiwango tulicho hakiki mwanzo

mchokozi
 
Back
Top Bottom