Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,556
Tena CQQUmewah kulimilik mkuu?
Tena CQQUmewah kulimilik mkuu?
Brother unaongea as if wewe peke yako ndio mwenye Ex-trailTatizo mnakuwa mnasikiliza mambo ya watu amabao utakuta pengine hata baiskeli hawana. Nina Nissan Ex-trail Manual, imemaliza Mwaka mzima sasa lakini haijawahi kuguswa na fundi yeyote. gari ni matunzo tu
Ok, ulipokua unakosea nissan wana oil zao special kama ulikua unaweka total au bp lazima ile kwako, nissan pia wana transmission fluid special kwa nissan tu. Kama ulifuata mashart haya na ukawa unanunua oil filter original bas nissan haiwez kusumbua hata siku 1Tena CQQ
This is Africa, masharti yote hayo ya nini !Ok, ulipokua unakosea nissan wana oil zao special kama ulikua unaweka total au bp lazima ile kwako, nissan pia wana transmission fluid special kwa nissan tu. Kama ulifuata mashart haya na ukawa unanunua oil filter original bas nissan haiwez kusumbua hata siku 1
Ndo hapo mnapokuja kusema xtrail mbovu, oil bp ya lita 5 ni elf 55 na oil kwa ajil ya xtrail ni elf 70 tu kwa huku mkoani, hapo kuna tatizo?This is Africa, masharti yote hayo ya nini !
Tatizo si pesa, wakati mwingine unaweza kumuamini mtu/fundi, lakini hali akafanya tofauti.. Ndo maana nimekwambia 'this is Africa'Ndo hapo mnapokuja kusema xtrail mbovu, oil bp ya lita 5 ni elf 55 na oil kwa ajil ya xtrail ni elf 70 tu kwa huku mkoani, hapo kuna tatizo?
Yan unafanya uzembe wa kutosimamia mali yako kisa "this is africa"...... InterestingTatizo si pesa, wakati mwingine unaweza kumuamini mtu/fundi, lakini hali akafanya tofauti.. Ndo maana nimekwambia 'this is Africa'
Shughuli ni gari tu !? We vipi ?Yan unafanya uzembe wa kutosimamia mali yako kisa "this is africa"...... Interesting
nimecheka sana eti maji yashaingia ruba hayaogeki sisi kwetu ilongelo kuna kabwawa kanaitwa mtambuko tulikuwa tunapaka mafuta ya mgando halafu unaingia kuoga hapo ruba hakushiki unakuwa unatelezaMaji yashaingia ruba hayaogeki. Kama namuona vile mwenye gari huko halipo anavyougulia maumivu. Teh teh teh. Xtrail ni kichomi.....
Sasa siku nyingine usiponde uimara wa gari kisa mapungufu yako tuShughuli ni gari tu !? We vipi ?
Haya magari vimeo kuyaponda ni lazima. Wacha penye ukweli tuseme!Sasa siku nyingine usiponde uimara wa gari kisa mapungufu yako tu
Unaponda kwa kuiga lakin ukwel huujui wala hujawah milikiHaya magari vimeo kuyaponda ni lazima. Wacha penye ukweli tuseme!
This is Africa !Sasa siku nyingine usiponde uimara wa gari kisa mapungufu yako tu
Gari zinauzwa mpaka mil 5, bado unahangaika tuu !Unaponda kwa kuiga lakin ukwel huujui wala hujawah miliki
Duuhh, wewe ndo umemaliza. Jamaa kama anaweza afute uzi wake, eti Xtrail ni kichomi....Maji yashaingia ruba hayaogeki. Kama namuona vile mwenye gari huko halipo anavyougulia maumivu. Teh teh teh. Xtrail ni kichomi.....
Hizi roho za kimaskin tuzikatae watanzania, sasa biashara haina effect yeyote kwako lakin unahangaika kuweka vikwazoDuuhh, wewe ndo umemaliza. Jamaa kama anaweza afute uzi wake, eti Xtrail ni kichomi....
subiri tu, muda ndio mwalimu! extrail sio gari ya kuweka dhamana kiasi hcho aisee , utaimba!
Usiogope! Mie ninatumia extrail, tens sikununua mpya bali nilinunua kwenye kampuni fulani huu mwaka wa pili, ipo vizuri kila siku inatembea si chini ya 60km.Mnatutisha wenye xtrail jmn