Recent content by chemigera

  1. C

    JamiiForums Tanzania Wabunge washangaa sheria ya mafao, wasema kipengele cha mstaafu kulipwa 25% na 75% kwa miaka 12 kilifichwa

    kweli mccm n Zaidi ya shetan. wastaafu na watumishi ina wanyanyasa sana.....baadae utasikia jamaa anajitambulisha kuwa ni rais wa wanyonge then anataka wamwombee.
  2. C

    JamiiForums Tanzania James Lembeli: Nimeshtushwa na kutekwa kwa mtoto wa dada yangu

    lembeli ndo nn??......fisi zee lenye njaa......
  3. C

    JamiiForums Tanzania Prof. Benson Banna azungumza kuhusu umuhimu wa Katiba mpya Tanzania

    prof mzima akili mfukon kiss njaa! huyo itafika wakati amuuze mkewe kwa jiwe. kisa njaa
  4. C

    JamiiForums Tanzania Serikali inatumia gharama kubwa sekta ya elimu

    sasa hiyo habari gani?;kama siyo upuuzi!
  5. C

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa Newala wagomea bei ya korosho

    nimepita sehemu mbalimbali za mkoa wa Dodoma ,ambapo inasadikika walikipatia kura nyingi za ushindi chama cha mapinduz( ccm). nimegundua maisha yao ni magumu sana sana pia uelewa wao n MDOGO ; bado wengne wanajua MWL nyerere n rais wa Tanzania. . elimu inaitajka kwao
  6. C

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Sera mpya ya CHADEMA toleo la 2018

    ...tahadhari! kwa wana jf...kuna misukule imejitokeza humu jf inaleta Uzi za kipuuzi kama Uhu..kuwen makin .
  7. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA isiwe kama wapiga ramli wa Kanda ya Ziwa

    hivi polepole (slow slow) ana miaka mingap?
  8. C

    JamiiForums Tanzania Watu 10 muhimu waliomuweka Magufuli Ikulu 2015

    ...hivi polepole (slow slow) ana miaka mingapi?
  9. C

    JamiiForums Tanzania Lissu awe Mwenyekiti CHADEMA na Lema awe Katibu

    we kama n ccm ya chadema yanakuhusu nini kama sio umbea NA upumbavu? .Fanya yako utuachie chama chetu hata chadema ikifa si ndo furaha yenu nyie mccm NA jiwe kama mlivyo taman kufikia 2020? sasa ya mbowe yanawahusu nini ?!.......
  10. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni siasa za Matukio Tafuteni Agenda

    Write your reply...hii mizuzu ilipo wanunu wabunge wa upinzani yakajua upinzani umekufa! yakasahau kuwa wananchi mamilion bado wanajitambua NA hawajiungi NA li chama chao LA kishetan.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Hanspope atua katika ‘Mikono salama’; Mahakama ya Kisutu yamwachia kwa dhamana...

    Write your reply...yawezekana ndo mda wa matajiri kuishi kama mashetan.........kama alivyo sema m/kiti wa mmm..........make naona maigzo yanaanza.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mbunge kutumia ofisi za chama kuongea na wanahabari kuhusu tukio linalopelelezwa vikali na Polisi ni sahihi?

    Write your reply...unataka aongelee WAP?au ikulu?acha unafiki NA kijpendekeza. kwan ofisi hiyo mi ya kwenu????????.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya hamahama ya 2015 na hii ya Leo ni nini?

    Write your reply...uko sawa
  14. C

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Mo Dewji afunguka, ‘alipokea meseji za vitisho’

    Write your reply...tanzagiza........wakitoka kwetu watafuata waooo . yajayo yanafurahisha...,.......... ...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Lowassa wamerudi CCM na kumpa majibu Dr Slaa kwamba mzee wao alikuwa ni Liability kwa CHADEMA!

    Write your reply...kwahiyo Dr slaa ni asset kwa mccm? .tunajua hapa chadema ndo inajengeka na kuwa imara sana...kwa sababu mashetan wote naona wanakimbia nuru na kwenda kuzimu(gizani) shetan go go go....mukaunga na shetan mkuu uko. ukiona mtu anaamua kuasi (kuacha kumtumikia mungu)unadhan huyo...
Back
Top Bottom