Dereva wa Mo Dewji afunguka, ‘alipokea meseji za vitisho’

Dereva wa Mo Dewji afunguka, ‘alipokea meseji za vitisho’

Wanazidi haribu hii movie, jambo serious kama hili dereva unaenda toa maelezo kwenye chombo cha habari kwani kitengo ndani ya jeshi la polisi hawakijui?
Hii inazidi leta picha mbaya kuna jambo linafichwa na wahusika wa huu mchezo wanajijua.
Dereva wanayemuulizia ni yule wa Lissu peke yake.
 
Na Hakuna Serikali yenye akili itakayomvizia mtu maeneo yenye kurudisha Utata kwao. Ni ujinga tu na mahaba ya kijinga. Afu Motive gani Lissu apigwe risasi na Serikali. Ana lipi Hasa . Pili mtz kama mo analipa kodi kihalali , Serikali wa nini. Imsumbue. Tatu. Biashara zina mambo na Siri nyingi sana msipende kuondoa maisha yake binafsi katika hili. Biashara ni vita Siku zote. Bado mapenzi nk. Mna mahaba sana na siasa basi kila ujinga mnapenda kuingiza mada ili mradi tu Mtaje. Jembe letu JPM. Wazembe na wachumia matumbo mtapataaaaa tabu sana. Mwisho tafsiri ya matajiri wanaopta Hela zao kwa madili madawa nk. Ndo hao waliahidiwa kupata tabu na unaona matanuzi ya kijinga Hakuna.
Jiwe jiwe jiwe!!!!
 
Halafu kuna siku alipost kuwa madeni yana vunja urafiki
Unajuwa vitu kama hivyo kikawaida vinachunguzwa. Ila nina mashaka na weledi wa vikosi vyetu vya uchuguzi wa masuala kama haya. Mtu kama yule kulalamikia mdeni unaweza kuta ni mabilioni na anayedaiwa ni mzito. Marafiki zake pia wachunguzwe, especially anaowadai.
 
Bado naitafuta ' Logic ' katika haya maelezo ya huyu Dereva sijaiona hadi sasa ' in connection ' na ' what happened yesterday ' pande za Obey.
Logic ya dereva ni kuwa
Waliomteka boss wake ni watu waliokua wanamtumia vitisho kwa simu na kwamba walimvizia toka muda mrefu
 
Ila mtu unaweza jiuliza yule Zacharia alitaka kukamatwa na wasiojulikana baadae ikasemwa ni wana usalama walikuwa kazini baadae ikaja semekana na mambo ya kuuziwa kwa bei che mali za Nyanza wakati huo mke wake Anthonio yuko ndani kwa mambo yale yale,huyu MO nae alinunua mashamba ya mkonge Tanga na mali nyingine nyingi,je nae hakununua kwa bei che wanamtaka arudishe kama walivyofanya kwa Zacharia???

Najaribu tu kuwaza aisee
Naskia na viwanda
 
Unajuwa vitu kama hivyo kikawaida vinachunguzwa. Ila nina mashaka na weledi wa vikosi vyetu vya uchuguzi wa masuala kama haya. Mtu kama yule kulalamikia mdeni unaweza kuta ni mabilioni na anayedaiwa ni mzito. Marafiki zake pia wachunguzwe, especially anaowadai.
Kabisa mkuu, nadhani wapekue mawasliono yake. Pia wakurugezi wa kampuni zake
 
Ni tukio la ngapi hili DAB anahusishwa??? Je muheshimiwa rais kwann hachukui hatua???? Ni muda gani tangu watu wasio julikana wameanza kuteka watu bila kukamatwa???. Zakaria alijaribu kutuonyesha watu hao kwa kuwatandika risasi lakin Leo zakaria yupo ndani anasota na watu wale ambao walikuja kufahamika ni u.salama wa t.aifa wapo wakiendelea na maisha

Ni wakat sahihi wa serikali kuangalia matukio haya

Mungu wa dsm DAB anasema dar iko salama
Je dar iko salama huku Yule balozi wa nchi fulani akifanyiwa uhalifu??
Dar ipo salama huku matajiri wakitekwa???

Kama mtu kama mo anaweza kubebwa kirahisi je vipi sisi akina kajamba nani????

Gwajima alisema mtu huyu muheshimiwa rais ampeleke nje ya nchi akakae tuu kuliko kubaki kwenye serikali.maana lazma atakuja kuidhalilisha serikali

Tumeona kweny makontena na tutaendelea kuona time will tell

Kumpa cheo kikubwa mtu wa std 7 asiye jitambua ni upuuzi mkubwa
Bashite msimuhusishe hapo.yeye kama anahusika ni kutekeleza tu maagizo kutoka juu
 
Tundu Lissu alipokea kichapo cha kumiminiwa risasi za kivita akiwa na dereva wake katikati mwa eneo lenye utitiri wa walinzi wanaolinda masaa 24. Na kabla ya hapo alianza kupokea vitisho na kufuatiliwa kama chambo. Hapo vipi nako?
Mkuu tundu lissu alipigwa hizo marisasi na ccm, na ndio hata leo waliomupiga risasi bado wako huru, try and be smart pls
 
Muroto alishindwa kabisa kuwakamata waliomjeruhi Lissu. juzi kati hapa alikamata malaya na dada poa ambao silaha walokua nazo ni kondom tu kwenye vipochi. Halafu anauza sura kwa tiivii
UUIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII umenivuja bavu na kicheko mkuu, ati dada poa walikuwa na silaha aina gani, huyu muroto hawezi kamata wale walimupiga lissu risasi , hawa walitumwa toka ikulu mkuu
 
Screenshot 2018-10-12 16.52.17.png
 
Write your reply...tanzagiza........wakitoka kwetu watafuata waooo . yajayo yanafurahisha...,.......... ...
 
Tundu lisu, super Sam naona bado hawajatoa somo kwa matajiri wanao ishi bila ulinzi!
Kama diamond tu anawalinzi sembuse billionaire,
Kama Mr nice tu msafara wake unasindikizwa na police sembuse MO,
 
Back
Top Bottom