Wakulima wa Newala wagomea bei ya korosho

Wakulima wa Newala wagomea bei ya korosho

Sasa hapo serekali ama chama cha ccm, kimehusikaje kuangusha bei.
Kama umenisoma vizuri nimeandika ni wao ndiyo mwaka jana walisema kwamba wamesababisha bei ya korosho nchini ipande. sasa kama imeshuka kwa nini isiwe ni wao hao waliyoipandisha mwaka jana ndiyo wameishusha?

Hoja yako kuu nakubaliana nayo. Bei ya korosho inategemea soko lilipo na siyo sarakasi zetu za humu nchini.
 
Kila kitu siasa, hatutafika!
Maisha ni siasa na siasa ni maisha mkuu. Hujawahi kusikia azimio la SIASA NI KILIMO chini ya CCM? Hujawahi kusikia Siasa ya Uchumi - Political Economy? Hujawahi kusikia Sayansi ya Siasa - Political Science? Hujawahi kusikia Elimu ya Siasa - Political Education?
 
Mwaka jana bei ya korosho ilipokuwa juu CCM walisema ni kutokana na juhudi zinazofanywa na Serikali katika kutekeleza sera za chama hicho. Sasa mwaka huu bei ya korosho imeshuka, nani wa kulaumiwa kama si CCM?

Kunguru wa Lumumba mizaha yenu ni maafa kwetu sote!!
CCM haijashusha bei,bali wafanyabiashara wanapima upepo,nafurahi kukujuza kwamba,wakulima wamegomea bei hiyo ya chini,mpaka hapo itakapopanda,kwani korosho inahitajika sana huko duniani,haiko haja ya kuiuza kwa bei ya chini
 
Mbona bei ilivyopanda mlisema ni jitihada za jiwe na seriakali yake na hamkusema soko la dunia?
Ndugu hiyo ilikuwa kutafuta sifa za kisiasa, hata umarekani mwezi ajira ikiongezeka utasikia trump akijisifu ameingeza ajira , ili hali hakuajiri hata mtu mmoja, bei ilipopanda ni kwa sababu palikuwa na uhaba wa korosho ulimwenguni.
 
Kinachomponza jiwe anataka kusikia mazuri 2. Ukwel mchungu ccm wala yeye sio wanaopandisha bei ya korosha
 
Kama umenisoma vizuri nimeandika ni wao ndiyo mwaka jana walisema kwamba wamesababisha bei ya korosho nchini ipande. sasa kama imeshuka kwa nini isiwe ni wao hao waliyoipandisha mwaka jana ndiyo wameishusha?

Hoja yako kuu nakubaliana nayo. Bei ya korosho inategemea soko lilipo na siyo sarakasi zetu za humu nchini.
Hiyo ni kawaida ya wanasiasa, kujiambatanisha ma mafanikio, hata kwenye hili sakata na Mo Dewji kuna wansiass wanatuamijisha eti kwa sababu ya kelele zao ndio zilizosababisha kuachiwa huru.

Ndugu hiyo ni tabia ya siasa, sisi tunahitajika kuwa makini and to read between yhe lines.
 
nimepita sehemu mbalimbali za mkoa wa Dodoma ,ambapo inasadikika walikipatia kura nyingi za ushindi chama cha mapinduz( ccm). nimegundua maisha yao ni magumu sana sana pia uelewa wao n MDOGO ; bado wengne wanajua MWL nyerere n rais wa Tanzania. . elimu inaitajka kwao
 
Maisha ni siasa na siasa ni maisha mkuu. Hujawahi kusikia azimio la SIASA NI KILIMO chini ya CCM? Hujawahi kusikia Siasa ya Uchumi - Political Economy? Hujawahi kusikia Sayansi ya Siasa - Political Science? Hujawahi kusikia Elimu ya Siasa - Political Education?
Huwa nasikia sana, lakini hiyo siasa ya kilimo, uchumi, elimu imetufikisha wapi! Au ndio ile wanasema tuna washamba na sio wanasiasa. Je, mbona kuna viongozi wanasema wao sio wanasiasa wanachapa kazi! Tushike lipi?
 
Kila kitu ni siasa, tatizo ni mkiwa na wanasiasa wa hovyo kila kitu huwa hovyo!!
Maish ni siasa,na siasahupaga sera za uchumi,sera za mifuno mvalinbali ,hupanga katiba n seria zake,hupanga utawala bira na utawala wa sheria.
Tunachopiga hapa ni aina gani ya siasa,inalyolinda asilahi ya umma?au kikundi kama chama?je utawala bora na utawala wa seria ni check and balance ya uteelezahi wa katiba ?
Na je siasa hizo umma mpna unaridhika nazo kama hilo la korosho?
Tafakari na chukua hatua
 
Ndugu Allen kuna mambo mengine haifai kuingiza siasa, bei ya korosho duniani imeanguka na kuna korosho nyingi sana za mwaka jana hazijauzika, kama za Ivory coast na nchi zingine za west africa.

Bei elekezi iliyotolewa mwaka huu na bodi ya korosho ni zaidi ya mwaka jana. Korosho yetu karibu yote inakwenda nchi za nje hasa Iindia, na hua zinauzwa kwenye mnada, wanaonunu ndio wanaotoa bei. Sasa hapo serekali ama chama cha ccm, kimehusikaje kuangusha bei.

Tuwe wakweli
Kwa hiyo bei ikipanda ni utekelezaji wa sera za awamu ya tano chini ya rais Magufuri, Ila ikishuka bodi ya korosho #shitholeTz
 
Ndugu Allen kuna mambo mengine haifai kuingiza siasa, bei ya korosho duniani imeanguka na kuna korosho nyingi sana za mwaka jana hazijauzika, kama za Ivory coast na nchi zingine za west africa.

Bei elekezi iliyotolewa mwaka huu na bodi ya korosho ni zaidi ya mwaka jana. Korosho yetu karibu yote inakwenda nchi za nje hasa Iindia, na hua zinauzwa kwenye mnada, wanaonunu ndio wanaotoa bei. Sasa hapo serekali ama chama cha ccm, kimehusikaje kuangusha bei.

Tuwe wakweli
Kuchukua pesa ya mfuko wa korosho kuwa ya hazina kwa ubabe naye Mungu kakasirika na watu wengi walitabiri anguko la zao la korosho,nayametokea
 
Mwaka jana bei ya korosho ilipokuwa juu CCM walisema ni kutokana na juhudi zinazofanywa na Serikali katika kutekeleza sera za chama hicho. Sasa mwaka huu bei ya korosho imeshuka, nani wa kulaumiwa kama si CCM?

Kunguru wa Lumumba mizaha yenu ni maafa kwetu sote!!
subiri sera mpya zilizozinduliwa juzi kati zitapandisha bei!
 
Bado ccm inalaumiwa sababu ndo imeweka mfum wa elimu kuwa tabaka kubwa liwe la wajinga
Adui wa taifa sio CCM na hajawahi kuwa adui na hatakuwa adui
Adui yetu mkubwa kabisa ni ujinga
 
Back
Top Bottom