CHADEMA isiwe kama wapiga ramli wa Kanda ya Ziwa

Elitwege

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
5,294
Reaction score
10,977
Hamna kitu kimeathiri kanda ya ziwa kama ramli chonganishi. Wazee kukatwa panga ni matokeo ya ramli chonganishi. Ramli hizi zimeathiri watu wa kanda ya ziwa kiasi kwamba kitu chochote kibaya kinachompata atashuku fulani na fulani wanahusika, hata akipewa kadi ya hospital kwamba ana vidonda vya tumbo na malaria kali mtu huyu bado atapinga na kusema fulani na fulani wameniroga tu.!

Chama kikuu cha upinzani Chadema sasa kinafanya mambo yake kwa style ileile ya wapiga ramli wa kanda ya ziwa !
Chadema ya sasa wako tayari kubishia vipimo vya daktari , polisi ,au Jeshi la wananchi! Chadema leo wanajua kila kitu hapa chini ya jua. Chadema ya leo kila siku wako bize kufundisha rais, waziri , polisi , CDF na usalama wa taifa namna ya kufanya kazi.
Likitokea tatizo ndani ya nchi yetu kama hili la utekaji ,chadema watabishia vipimo vya kisayansi na kusema aliyesababisha ni bashite.
Inasikitisha sana imefikia hatua hata mvua isiponyesha chadema watakwambia sababu ni Magufuli!

Sasa tuwaulize nyie Bavicha na Chadema kwa ujumla kama mnajua kila kitu hapa chini ya jua kwa nini chama kinawafia kila kona ya nchi? Kwa nini mmeshindwa kujua anayekula ruzuku ya chama chenu? Kwa nini hata ofisi ya chama imewashinda?
 
Kwani Wewe Icho Ulichoandika Hapo Sio Ramli Chonganishi???

Nyinyi Si Ndio Waasisi Wa Hayo Mambo. Bila Kusahau kile kigazeti Chenu Kila Kukicha Ni Chadema, Mara Elimu Ikidorora Lawama Kwa Chadema. Mara Chadema Wamehujumu Hiki Mara Kile. Ramli Kila Kukicha.
 
Tuambie Ruzuku Za Vyama Vingine (Ccm, Cuf, Nccr, Act) Zinaliwa Na Nani???
Mnafundisha jeshi la polisi jinsi ya kufanya kazi
 
Hamna kitu kimeathiri kanda ya ziwa kama ramli chonganishi. Wazee kukatwa panga ni matokeo ya ramli chonganishi. Ramli hizi zimeathiri watu wa kanda ya ziwa kiasi kwamba kitu chochote kibaya kinachompata atashuku fulani na fulani wanahusika, hata akipewa kadi ya hospital kwamba ana vidonda vya tumbo na malaria kali mtu huyu bado atapinga na kusema fulani na fulani wameniroga tu.!

Chama kikuu cha upinzani Chadema sasa kinafanya mambo yake kwa style ileile ya wapiga ramli wa kanda ya ziwa !
Chadema ya sasa wako tayari kubishia vipimo vya daktari , polisi ,au Jeshi la wananchi! Chadema leo wanajua kila kitu hapa chini ya jua. Chadema ya leo kila siku wako bize kufundisha rais, waziri , polisi , CDF na usalama wa taifa namna ya kufanya kazi.
Likitokea tatizo ndani ya nchi yetu kama hili la utekaji ,chadema watabishia vipimo vya kisayansi na kusema aliyesababisha ni bashite.
Inasikitisha sana imefikia hatua hata mvua isiponyesha chadema watakwambia sababu ni Magufuli!

Sasa tuwaulize nyie Bavicha na Chadema kwa ujumla kama mnajua kila kitu hapa chini ya jua kwa nini chama kinawafia kila kona ya nchi? Kwa nini mmeshindwa kujua anayekula ruzuku ya chama chenu? Kwa nini hata ofisi ya chama imewashinda?
Halmashauri chini ya CHADEMA zaongoza kwa rushwa - JamiiForums
unamatatizo gani na chadema we mama.. wamekufanya nn mpaka unalialia hhivii[emoji160] [emoji126] [emoji12]
 
Hamna kitu kimeathiri kanda ya ziwa kama ramli chonganishi. Wazee kukatwa panga ni matokeo ya ramli chonganishi. Ramli hizi zimeathiri watu wa kanda ya ziwa kiasi kwamba kitu chochote kibaya kinachompata atashuku fulani na fulani wanahusika, hata akipewa kadi ya hospital kwamba ana vidonda vya tumbo na malaria kali mtu huyu bado atapinga na kusema fulani na fulani wameniroga tu.!

Chama kikuu cha upinzani Chadema sasa kinafanya mambo yake kwa style ileile ya wapiga ramli wa kanda ya ziwa !
Chadema ya sasa wako tayari kubishia vipimo vya daktari , polisi ,au Jeshi la wananchi! Chadema leo wanajua kila kitu hapa chini ya jua. Chadema ya leo kila siku wako bize kufundisha rais, waziri , polisi , CDF na usalama wa taifa namna ya kufanya kazi.
Likitokea tatizo ndani ya nchi yetu kama hili la utekaji ,chadema watabishia vipimo vya kisayansi na kusema aliyesababisha ni bashite.
Inasikitisha sana imefikia hatua hata mvua isiponyesha chadema watakwambia sababu ni Magufuli!

Sasa tuwaulize nyie Bavicha na Chadema kwa ujumla kama mnajua kila kitu hapa chini ya jua kwa nini chama kinawafia kila kona ya nchi? Kwa nini mmeshindwa kujua anayekula ruzuku ya chama chenu? Kwa nini hata ofisi ya chama imewashinda?
Lumumba kumekucha [emoji23]
 
Kwani Wewe Icho Ulichoandika Hapo Sio Ramli Chonganishi???

Nyinyi Si Ndio Waasisi Wa Hayo Mambo. Bila Kusahau kile kigazeti Chenu Kila Kukicha Ni Chadema, Mara Elimu Ikidorora Lawama Kwa Chadema. Mara Chadema Wamehujumu Hiki Mara Kile. Ramli Kila Kukicha.
Siyo kweli
 
Hamna kitu kimeathiri kanda ya ziwa kama ramli chonganishi. Wazee kukatwa panga ni matokeo ya ramli chonganishi. Ramli hizi zimeathiri watu wa kanda ya ziwa kiasi kwamba kitu chochote kibaya kinachompata atashuku fulani na fulani wanahusika, hata akipewa kadi ya hospital kwamba ana vidonda vya tumbo na malaria kali mtu huyu bado atapinga na kusema fulani na fulani wameniroga tu.!

Chama kikuu cha upinzani Chadema sasa kinafanya mambo yake kwa style ileile ya wapiga ramli wa kanda ya ziwa !
Chadema ya sasa wako tayari kubishia vipimo vya daktari , polisi ,au Jeshi la wananchi! Chadema leo wanajua kila kitu hapa chini ya jua. Chadema ya leo kila siku wako bize kufundisha rais, waziri , polisi , CDF na usalama wa taifa namna ya kufanya kazi.
Likitokea tatizo ndani ya nchi yetu kama hili la utekaji ,chadema watabishia vipimo vya kisayansi na kusema aliyesababisha ni bashite.
Inasikitisha sana imefikia hatua hata mvua isiponyesha chadema watakwambia sababu ni Magufuli!

Sasa tuwaulize nyie Bavicha na Chadema kwa ujumla kama mnajua kila kitu hapa chini ya jua kwa nini chama kinawafia kila kona ya nchi? Kwa nini mmeshindwa kujua anayekula ruzuku ya chama chenu? Kwa nini hata ofisi ya chama imewashinda?
Maelezo ni mengi lakin hamna yenye mantiki inayoendana na uhalisia ulioutaja.

Vai procurar os homens pra te subir a sua atrás.
 
Back
Top Bottom