I really support because Chadema sasa kimekua na kinahitaji kuwafikia wanachama na mashabiki wengi zaidi, pia hayo yatakuwa maandalizi muafaka ya kukamata nchi 2015.
Wenzetu CCM wanvyo vingi tu kama Uhuru, Mtanzania, nagazeti yote ya "serikali", Cloudsfm, radio Uhuru, ITV, na vingine vingi...