I really support because Chadema sasa kimekua na kinahitaji kuwafikia wanachama na mashabiki wengi zaidi, pia hayo yatakuwa maandalizi muafaka ya kukamata nchi 2015.
Wenzetu CCM wanvyo vingi tu kama Uhuru, Mtanzania, nagazeti yote ya "serikali", Cloudsfm, radio Uhuru, ITV, na vingine vingi. Inatupasa kutangaza sera zetu kwa uwazi kama vile uozo wa katiba hii, jinsi serikali yetu itakavyokuwa (ukubwa wake), mipango ya maendeleo ya muda mfupi na mrefu.
Infact tusitegemee vyombo hivi leo kueleza yote tuliyonayo zaidi ya kuwa navyo vyetu.
Slaa, Mbowe naamini mna mikakati mizito ya kuitoa Tz kwenye hili dimbwi la umaskini naomba hili pia liwe ktk ajenda za chama. Peoples Power!!