Recent content by Cheedy

  1. Cheedy

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa lugha ya kingereza msaada kwenye tuta

    Ipo hivi. hapo wanaomiliki hao kuku ni wazazi wa debora, kwa maana hiyo ni wingi tayari na lazima utumie Have. Kwa hyo sentesi itasomeka Debora's parents have many hens. Kama wangekuwa kuku wanamilikiwa na Debora sentensi ingekuwa; Debora has many hens. Hiyo sentesi ya pili imebadilka kwa...
  2. Cheedy

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa lugha ya kingereza msaada kwenye tuta

    Kwa mfano tuiweke sentensi kwa Kiswahili. Debora's parents _____ many hens (Have/Has) Wazazi wa Debora _____ kuku wengi (Wana/Ana)
  3. Cheedy

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa lugha ya kingereza msaada kwenye tuta

    Setensi ya kwanza sio sahihi, ya pili pia haipo sahihi kwa sababu ya hiyo WILL kwa hiyo itakuwa She will have na sio has has inatumika kwa He/She/It Have inatumika kwa I/You/We/They
  4. Cheedy

    JamiiForums Tanzania Simba ni lini mlikuja kufanya mazoezi ya mwisho na mabasi mawili makubwa kwenye derby?

    Hapo kuna mtu anatafutiwa sifa. Baadae atawapigia simu kuwaambia wacheze Mechi na watakubali, Machawa wataanza kumpongeza na kusema "bila yeye derby isingechezwa"
  5. Cheedy

    JamiiForums Tanzania Tatizo kwenye Chrome

    Nenda kwenye vile vidoti vitatu juu kulia bonyeza halafu screenshot weka hapa. Uliweka crack au software yeyote iliokutaka kuzma Anti-Virus wakat wa ku install?
  6. Cheedy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    😂😂😂😂
  7. Cheedy

    JamiiForums Tanzania Tanzania bado ni nchi maskini sana

    Yah hata mimi mkuu
  8. Cheedy

    JamiiForums Tanzania Tupeane tips za kujulikana hapa bongo kuwa superstar

    Wewe unakipaji gani au kitu gani unapenda? pia una muonekano gani wa shape,kimo,rangi?
  9. Cheedy

    JamiiForums Tanzania Tupeane tips za kujulikana hapa bongo kuwa superstar

    Njoo tutegeneze Connection yetu.
  10. Cheedy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kama Umeweka Mkeka Rebet upya utapata pressure kwa sababu timu ya kwa kupachika goli itakuwa ni R. Madrid
  11. Cheedy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    UEFA CHAMPIONS LEAGUE LEO USIKU. Nahisi hii Game itaisha kwa kwa Draw. Full Time Result: Manchester City 2 - 2 Real Madrid
  12. Cheedy

    JamiiForums Tanzania Kuna wanaume humu wapo kuvamia members wapya wanaodhani ni Wasichana

    Huo ndo uanaume sasa.
Back
Top Bottom