Tupeane tips za kujulikana hapa bongo kuwa superstar

Tupeane tips za kujulikana hapa bongo kuwa super star., Ni kama vile nahisi ukiwa star ndiyo hata mabwana wenye pesa unawapata maana siye wengine tunaitwa warembo huku mtaani lakini dah! Mabwana wa maana hata hatuwapati, gigs za maana hakuna kabisa sijui tunakosea wap

Uzi tayari!
Unaweza ukamuiga mama J alichofanya soon upo on top of the league
 
Chura ninayo rangi ya mtume ninayo na sura nzuri babe face ninayo tatizo ni ntawapa wap? Au mbinu ndiyo sijui?

Kama una vyote na huna bwana wa maana
Kaoge na maji ya bahari utoe gundu tu alafu uje kuleta mrejesho…
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom