Tupeane tips za kujulikana hapa bongo kuwa superstar

Una mipaka yako na unaheshima mbele za watu..na bado unautaka usuperstar wa bongo..hapo ndio unapokwama...kuwa super star bongo ni lazima uachane na hivyo vitu yaani usiwe na mshipa wa aibu....achana na mambo ya mipaka na aibu mbele za watu...si unacheki role model wako Uwoya...hana mshipa wa aibu yule..au angalia ka Mabeto hakana sijui mipaka wala nini!
Asee, pagumu kidogo
 
Tupeane tips za kujulikana hapa bongo kuwa super star., Ni kama vile nahisi ukiwa star ndiyo hata mabwana wenye pesa unawapata maana siye wengine tunaitwa warembo huku mtaani lakini dah! Mabwana wa maana hata hatuwapati, gigs za maana hakuna kabisa sijui tunakosea wap

Uzi tayari!
Kuwa star kazi mpendwa, hata Mimi nilipenda kuwa star Ila uachekazi ufanye kazi, mpaka nilikuwa na marafk star, ningekuwa, Ila majukumu na umbali wa bongo, Ila nilichopenda sio sababu ya kuwa na mabwana, kujulikana tu Kama kina roza Lee, na kumake bingo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom