Recent content by Che Kalizozele

  1. Che Kalizozele

    Tunaendelea,kumbe tukiamua tunaweza,kusini tumeonesha mfano huo leo hii na dunia imeona

    Hapo kwenye red Big show,kama nakuona vile.Kweli katika hili kazi ipo
  2. Che Kalizozele

    Swala la Watanzania kuto kuunganisha Mitaji yao ni sawa na Kujichimbia Kaburi la Biashara

    Ukweli ni kwamba watanzania tuna tatizo la uaminifu kitu kilichosababisha watu tusiaminiane,kwa kawaida mtu usipokuwa muaminifu ni vigumu kumuamini mwenzako.Kuna muheshimiwa mmoja anasema,asilimia themenini ya matatizo ambayo nikikwazo kwa maendeleo yako,yanatokana na wewe mwenyewe,unachotakiwa...
  3. Che Kalizozele

    Ni nani anaemiliki kiwanda cha ARV feki?

    Ushindani sio mkubwa kama unavyofikiria ndugu yangu,asilimia kubwa ya dawa za TPI zinauzwa MSD na kwa maneno yake mwenyewe Madabida kwa miaka kadhaa walikuwa hawajawahi kukidhi mahitaji ya soko.Tatizo kubwa liko hapo kwenye kutengeneza dawa zenye ubora na mbaya zaidi makosa yanapotokea wakati wa...
  4. Che Kalizozele

    Ni nani anaemiliki kiwanda cha ARV feki?

    Huo ndio ukweli.Niliwahi kufanya field hapo TPI,zamani kidogo. kipindi hicho kiwanda cha kutengeneza ARV kikiwa bado kwenye makaratasi.Kulingana na maelezo ya meneja,serikali ilikuwa ina hisa katika kile kiwanda(wewe haujiulizi waziri amepata wapi nguvu za kumsimamisha mkuu wa kitengo cha...
  5. Che Kalizozele

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Magoli matatu aliyofunga Alexander Christopher yaliizamisha Mtibwa katika fainali ya michuano ya super8
  6. Che Kalizozele

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    2015 ni mwaka ambao tutawaambia CCM imetosha,kaeni pembeni nanyi muwe watazamaji.
  7. Che Kalizozele

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kiume na kiumeni;Kiume ni nomino na kiumeni ni kielezi.
  8. Che Kalizozele

    Wana-jf nimefiwa na mke wangu!!

    Pole sana mkuu,Mwanyezi Mungu akupe subra katika kipindi kigumu.
  9. Che Kalizozele

    angekuwa mwanao ungemfanyaje !!!

    Huyu ni wa kupeleka polisi tu,hakuna jinsi.
  10. Che Kalizozele

    PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam

    kwa kweli ni hatari zaidi ya nilivyokuwa nafikiria.Poleni sana watanzania wenzangu
  11. Che Kalizozele

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mie nafikiri kuna haja ya kufanya maamuzi magumu,wafukuze wenger,bora kuanza upya kuliko kujenga timu kila mwaka,mwaka wa saba huu utapita bila ya kikombe.
  12. Che Kalizozele

    Kwa wanaume wenye ndevu

    sasa sisi wenye ndevu zetu inatuhusu nini,maana ulivyokuwa specific nikahisi kuna jambo sie wenye ndevu unataka kutuhabarisha,kumbeeeee!!!
  13. Che Kalizozele

    Mambo mpwitompwito

    Umeona eeee,na hiyo nguo ilifunuka kwa muda gani au jamaa alikua anategwa sema swaumu ikamuokoa.Yaaani unaambiwa kabisa MAMBO MPWITOMPWITO.uwezi kusoma hayo maneno bila ya kujitingisha japo kidogo.
  14. Che Kalizozele

    Mambo mpwitompwito

    Na weweee,swaumu ya jana itabidi ulipizie hata kama sio muislam.Ni brand ya wapi hiyo mwanangu,au haukuona ni madeni ya wapi.
Back
Top Bottom