Kwa wanaume wenye ndevu

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,974
1,400
Tafadhali kama wewe si mwanaume au ni mwanaume usiye kuwa na ndevu hii haikuhusu..

Nilikuwa naongea na daktari mmoja katika hospitali moja kubwa sana katika nchi niloyokwenda kutembea..chonde chode tafadhali kama unatumia dawa ya kupaka kuzuia ndevu zisiweze kuwahi kuota ni kwamba dawa hizo zinaleta cancer ya ngozi na kama ulikuwa unampango wa kutumia tafadhari usifanye hivyo na kama unatumia acha mara moja ...

MESSAGE DELIVERED..
 
sasa sisi wenye ndevu zetu inatuhusu nini,maana ulivyokuwa specific nikahisi kuna jambo sie wenye ndevu unataka kutuhabarisha,kumbeeeee!!!
 
Habari hii inawahusu wanaopenda kunyoa ndevu kama soldiers wa Tz na wengine wanaonyoa ndevu.Mimi na wenzangu wote tunaopenda kufunga ndevu kama Mr.fulani ambaye ni wakili maarufu wa huko Dodoma ambaye pia ni mtumishi wa Mungu haituhusu.
 
Acha mizaha..hili si jambo la kupuuzwa..tafakari nenda ocean road hutajibu hivi tena
sasa sisi wenye ndevu zetu inatuhusu nini,maana ulivyokuwa specific nikahisi kuna jambo sie wenye ndevu unataka kutuhabarisha,kumbeeeee!!!
<br />
<br />
 
Sasa unanyoa ndevu na unataka zisiote tena? We unafanya kazi gani! Au ndio kazi za kutaka uonekane bado mdogo! au mzuri kama mtoto wa kike?
 
Kama hii topic ni kwa wanaume tu mbone kuna mademu nao wanandevu utawasaidiaje mkulu?
 
Mkuu binafsi nimekuelewa. Je vipi hizi dawa za kunyolea ndevu? Mfano magic , nk zikoje nazo?
 
kwa nini mwanaume azue ndefu kuota !!! :A S 109: dah! sipati picha dume zima kidevu utafikiri Goti la mtoto mchanga!
 
....wasi wasi wangu ni kwamba unaweza kuzuia ndevu zisiote then hizo nywele zikajikusanya ukaota mkia.....
 
Jamani kwa sasa siangaiki na madawa..niemnunua mashine yangu ..siku nikijikia tu ...nakwangua tu utasikia ..palalalalalalala......chaajabu..sitoki mipele wa la ngozi kuwa ngumi na wala siweki powder wa kupakaa spirit..nikimaliza nasafisha na na toulo ya maji ya uvuguvugu kwa mbali...Kama unaweza kumudu kuwa na mchine yako binafsi itakuwa powa..usikubali kushare na mtu yoyote niyako peke yako.na usikubali kutumia machine feki kwani huwa na tabia ya kuchemka na kuwa ya moto hivyo kunauwezako wa kukuunguza au kukukata ngozi.au kuchoma choma ngozi yako..
 
Mi nimeshatumia dawa ya kimasai na hazioti.
<br />
<br />
haaa! Hii dawa naona hata mi inanifaa mana nimeshachoka na hii mindefu yani nikinyoa haipiti hata wiki tayari mindefu inafurika uso mzima hautamaniki. Please mkuu naomba unielekeze wapi naweza kupata dawa hiyo.
 
Back
Top Bottom