Recent content by Chatco charter

  1. C

    JamiiForums Tanzania Hoteli gani nzuri na ya kisasa Morogoro?

    Flomi pazuri sana
  2. C

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi nisaidie, ni mwezi wa pili sasa nasubiri saini ya kamishna wa ardhi ili niweze kupata hati

    Na ikumbukwe kuwa hati zipo za watu wengi sio kwamba ni wewe peke yako mleta Mada ndo unakiwanja hadi upewe hati mapema wapo wengi walotangulia kabla yako. Kuwa mvumilivu watakupatia
  3. C

    JamiiForums Tanzania Nimeachwa..

    Pole
  4. C

    JamiiForums Tanzania Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

    [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji1] [emoji2]
  5. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, ashauriwe aache kuchomeka chomeka maneno ya kizungu katika hotuba

    Kweli bila hivyo lazima usiz
  6. C

    JamiiForums Tanzania BARUA YA WAZI KWA RAISI

    Hakuna mkamilifu, kikubwa ni kujirekebisha tuu ndo dawa labda Kama mkurugenzi ni malaika hapo sawa atamridhisha kila mtu
  7. C

    JamiiForums Tanzania Video: Azimia jukwaani baada ya kutumbuliwa na Makonda

    Aisee, kama binadamu nimemuonea huruma sana huyo baba alozimia, lakini cheo ni dhamana hakuna marefu yasiyokuwa na ncha. Ipo siku
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ya Sheikh Mussa, tumuachie Sheikh Mussa mwenyewe

    Hata viongozi wa dini wanatenda dhambi, si wakamilifu kama unavyofikiri ww mtoa mada, ila kama umemuangalia kwa muonekano wake huyo shehe ni msafi kweli
  9. C

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke ambaye Mungu akipenda atakuwa mke wa maisha yangu

    Wewe una vigezo wanavyovitaka?
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi kuangusha uongozi wa BAKWATA?

    Mtu yeyote chini ya jua anamapungufu, hata wao wanamapungufu yao acha tuyajue tuu tujue tunaishi na aina gani ya viongozi wa dini, ambao walitakiwa wawe kioo cha jamii
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi kuangusha uongozi wa BAKWATA?

    Lisemwalo lipo kama halipp laja...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni binti na una miaka 25 au zaidi na hujui kabisa nani atakuoa na hamna dalili, usichukulie poa

    Tatizo mabinti wanachagua sana, kiukweli kila mtu akisema atulie sehem na mtu wala kusingekuwa na malalamiko ya wao kutokuolewa
  13. C

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kutoa hela bila kuombwa

    Ni kweli mkuu,
Back
Top Bottom