Ya Sheikh Mussa, tumuachie Sheikh Mussa mwenyewe

Ya Sheikh Mussa, tumuachie Sheikh Mussa mwenyewe

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
15,520
Reaction score
39,103
Habari wana JF,

Kwanza kabisa naomba tumtunzie heshima yake Sheikh wetu mpendwa Mussa.

Pili, Sheikh wetu amefanya mengi yaliyo mema na kututabainisha katika matakwa na makatazo ya Mola.

Tatu, Sheikh wetu hajafanya zinaa, ameoa wake zake wazuri na wakupendeza.

Nne, hayo matendo ambayo Sheikh wetu anatuhumiwa kuyafanya kwa wake zake yanaweza kuwa yakawa yafanywa na baadhi ya wana JF humu ndani ambao wako au hawako kwenye ndoa.

Tano, bado haijathibitika kwamba Sheikh wetu anashiriki katika hiyo michezo pendwa na kwasabau hiyo basi si vyema sana kumuhukumu Sheikh wetu.

Mwisho, Mambo ya Sheikh Mussa, tumuachie Sheikh Mussa mwenyewe.

Asanteni
 
Habari wana JF,

Kwanza kabisa naomba tumtunzie heshima yake Sheikh wetu mpendwa Mussa.

Pili, Sheikh wetu amefanya mengi yaliyo mema na kututabainisha katika matakwa na makatazo ya Mola.

Tatu, Sheikh wetu hajafanya zinaa, ameoa wake zake wazuri na wakupendeza.

Nne, hayo matendo ambayo Sheikh wetu anasingiziwa kuyafanya kwa wake zake yanafanywa na wana JF wengi tu humu ndani ambao wako au hawako kwenye ndoa.

Tano, bado haijathibitika kwamba Sheikh wetu anashiriki katika hiyo michezo pendwa na kwasabau hiyo basi si vyema sana kumuhukumu Sheikh wetu.

Mwisho, Mambo ya Sheikh Mussa, tumuachie Sheikh Mussa mwenyewe.

Asanteni
Wewe veeepee???!!!!
 
Sisi waislam bakwata ni taasisi yetu siyo yake. Atupishe kabisa
 
Unajua bwana, binadamu huwa anapatiwa mitihani na mola wake ili tu apimwe IMAAN na kupandishwa DARJA ila kinachotakiwa ni SUBRAH tu.

Innallah A'laa Kully Shayin Qadiyr.
 
Hata viongozi wa dini wanatenda dhambi, si wakamilifu kama unavyofikiri ww mtoa mada, ila kama umemuangalia kwa muonekano wake huyo shehe ni msafi kweli
 
Back
Top Bottom