monaco
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,184
- 1,779
- Thread starter
- #21
Ahsante Nita google nizione Mkuu!
- Antique Legacy Hotel - Start Relaxing Your Soul and Enjoy Your Stay.
- Flomi Hotel - www.flomihotel.co.tz
- Tex Palace Hotel -
Ahsante Nita google nizione Mkuu!
- Antique Legacy Hotel - Start Relaxing Your Soul and Enjoy Your Stay.
- Flomi Hotel - www.flomihotel.co.tz
- Tex Palace Hotel -
Bastola baki nayo,si tunataka vito vya thamaniNimekumbuka Nashera walipomuibia kaka Malima (RC wa mkoa wa Mara) hadi pete ya harusi. hahahahahahha. Lakini cha ajabu hawakuchukua bastola yake. hahahahahahahahahahha
Ila ilileta gumzo kwenye jamii juu huo wizi. Ilikuwa kama vile aliwekewa "kakileo" na "mdada" halafu akafanya yake maana aliibiwa room. hahahahaha halafu bila haya akawa anaonesha kwenye vyombo habari kidole chake kilichovuliwa pete ya ndoa imebaki alama tu hahahaBastola baki nayo,si tunataka vito vya thamani
Muwekee na bei kaka,kwa siku tu akiwa na mchepuko nusu millioni anaiacha aisee,Awamu hii we nenda tu new rombo kwa 25 tu mpaka breakfast unapataNashera hotel
Nimekuelewa Mkuu. Nilienda Kuogelea Tu Hapo. Ila Ni Three Star Hotel, No Wonder Price Yake Ipo Hivyo. Mbali Na Hii Labda Ujaribu Lyamungo Ni Lodge.Hii Nasikia ni kuanzia 300,000
Though ni Nzuri sana IPO Kule Liti!
Tex sawa ila fromi,chumba cha bei ya chini ni 80 kwa mara ya mwisho mwaka jana nilienda
- Antique Legacy Hotel - Start Relaxing Your Soul and Enjoy Your Stay.
- Flomi Hotel - www.flomihotel.co.tz
- Tex Palace Hotel -
Haya, nenda hata Hilux! Tex palace pamejaa sanaHapana Mkuu
Nataka tuu kupumzika sehemu/Hotel Nzuri baada ya Uchovu wa kazi!
Fioni/Flomi jina nimesahau kidogo zipo pale karibu na Msamvu uende ile ya ghorofa chumba kinaanzia 80,000 kuna spring bed,kiyoyozi,kafriji,birika la kahawa/chai unawekewa na sukari halafu wana breakfast ya kufa mtu,pia wanayo ingine sio ghorofa ipo hapo hapo karibu na kwenye mgahawa wa chakula wa mabasi yanyotokea njia ya Dodoma hapo wanaanzi 40,000 full kiyoyozi ila hapo kwa maoni yangu sio salama sana tofauti na kwenye Hotel ya ghorofa,hii ingine ni kama lodge,ila pia kuna breakfast ya kufa mtuWadau habari,
Baada ya Kazi ngumu,nimeona nikapumzike Mji Kasoro bahari!
Je ni hotel gani Nzuri na ya kisasa Ambayo Ina Range 50,000-100,000
Mkoani Morogoro?
Mbona inajulikana jamaa aliimport kunguru asiefugika....ila kunguru alisakwa na kunasuliwa siku hiyo hiyoNa mie nimempa kama tahadhari, ili awe makini na "wadada" watakao mkarimu. hahahahah
ilikua noma Sana,,namimi kwenye kesi nkahusishwa..nkakimbia hadi nchi..Nimekumbuka Nashera walipomuibia kaka Malima (RC wa mkoa wa Mara) hadi pete ya harusi. hahahahahahha. Lakini cha ajabu hawakuchukua bastola yake. hahahahahahahahahahha
250,000 kuanziaHii Nasikia ni kuanzia 300,000
Though ni Nzuri sana IPO Kule Liti!
SI kweli..kuna jamaa alimpiga..alifungwa miaka mitatuMbona inajulikana jamaa aliimport kunguru asiefugika....ila kunguru alisakwa na kunasuliwa siku hiyo hiyo