Recent content by Chasoda

  1. C

    JamiiForums Tanzania Gesi ya Mtwara bado ni kizungumkuti na mwiba mchungu, Inatoka au haitoki?

    wanaoleta utani waje mtwara waone mafisadi wanavyopishana kuja kushuhudia dhahama iliyopo huko msimbati.ardhi inadidimia na bahari inafuata mahali penye mitambo ya gesi.ccm mmenoa .
  2. C

    JamiiForums Tanzania Vurugu kubwa zatokea Kariakoo, Dar

    Wakazi wa mtwara tunapanda magar tunakuja kuwasaidia komaa nao mpaka jion tutakuwa tmefka.musichokee tatzo leo nyie watu wa dar ni waoga sana...tukifka ngoma mpaka magogoni
  3. C

    JamiiForums Tanzania Msaada Wanajamvi, Ndoa inataka Kuota Mbawa

    Nadhan una hofu na yeye au haumwamini
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka 9 atisha kwa sarakasi mpaka rais Kagame akamuita Rwanda

    Ni kweli freemasons ukiwa na kiwanja na vifaa vyote vya ujenzi wa nyumba wanakujengea bila malipo yeyote?na wanapatikana wapi?
  5. C

    JamiiForums Tanzania Hivi Hawa Wanampigia nani Magoti? Wana akili kweli?

    CCM masilahi
  6. C

    JamiiForums Tanzania Zijue sababu za wanaume, kupendelea wanawake wenye umri mdogo

    Na hao mashuga mami wanaochukua serengeti boi wanawafata kwa sababu sehemu zao zmebana?
  7. C

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya: Viwanja vya Ndege vya Dar na Kilimanjaro vyamchefua Kikwete kuwa uchochoro!

    Riz one kawa mbunge anajua sasa ataacha kaz yake ya zamani
  8. C

    JamiiForums Tanzania Je, unajua sheria za kuvaa tai?

    Usikimbie mvua!na ukikutana na mtu anayekudai mlipe asije akukunyonga
  9. C

    JamiiForums Tanzania Huduma za benki ya NBC mtwara zinakera

    Takribani miezi miwili sasa huduma za kibenki ya NBC tawi la mtwara zimekuwa ni kero na usumbufu mkubwa kwa sisi wateja wao tunaotegemea huduma toka kwao.Lakini kwa mshangao mkubwa wakati hali hii ikiendelea hamna taarifa au jitihada zozote zinazofanywa ili kutatua hali hii. Unaweza ukafka ndani...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mtwara kwachafuka tena

    Kwa mara nyingine tena asubuhi hii mji wa mtwara umekumbwa na milipuko ya mabomu kuwatawanya madereva pikipiki waliokuwa wanaandamana kupinga unyanyasaji unaodaiwa kufanywa na polisi. Wanajeshi wameanza kushika doria katika maeneo kadhaa ya mji huu huku maduka ktk soko kuu yakiwa yamefungwa...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mtwara:nyumba ya diwani yapigwa mnada yanunuliwa na mbunge

    Nyumba ya diwani wa kata ya likonde iliyopo manispaa ya mtwara mjini,bwana mohsin komba(ccm) jana ilipigwa mnada na benki ya crdb.Hatua ya kupigwa mnada nyumba io inatokana na kudaiwa na benk io na yeye kushindwa kurudisha deni alilokuwa anadaiwa.Katika hali iliyowashangaza wengi wakati nyumba...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete Ziarani Japani

    kwani mugabe wananchi wake hawana vyoo?
  13. C

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete Ziarani Japani

    Hivi ni kweli our prezdaa ni freemasons?
  14. C

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Treni Moshi bar- Ukonga DSM wawili wamekufa hapo hapo!

    Marehemu anaitwa elias daniel kitundu ni mwajiriwa wa wizara ya viwanda na biashara makao makuu
  15. C

    JamiiForums Tanzania Gesi mtwara: Chombo cha dola, Wananchi na macho ya kuviziana

    Gesi kwanza?...
Back
Top Bottom