Gesi mtwara: Chombo cha dola, Wananchi na macho ya kuviziana

Gesi mtwara: Chombo cha dola, Wananchi na macho ya kuviziana

Wewe uliandamana kweli? Bado unavidole na kucha tuu?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Huyu ni kweli aliandamana,
ILA anafuatiliwa kwa karibu nyendo zake,
Kuna wiki hatoonekana hapa JF.......
Kuchanganya Siasa na Uanaharakati si kwema....
 
naungana mkono hoja ata kama itakua jeshi imara na ya kisasa kama ile ya israeli haiwezi kushinda nguvu ya umma na hii tabia ikitokea fujo tu kidogo wameshatia kimbelembele kupeleka jwtz ipo siku itawakuta.
 
Tusijidanganye kwa kuja
na majina ya bandia humu ndio hatutajulikana nani kaandika taarifa za
uchochezi kama hizi.

Wataalamu wakitaka kufuatlia wanajua source ya pc au gadget iliyotuma
ujumbe na wapi ilipo.

Ni angalizo tunatoa sitishii

na polisi (kova) wameahidi ku-patrol humu ili kusaka wachochezi!
 
Huyu ni kweli aliandamana,
ILA anafuatiliwa kwa karibu nyendo zake,
Kuna wiki hatoonekana hapa JF.......
Kuchanganya Siasa na Uanaharakati si kwema....

Woga ni dhambi kubwa sana maishani.
Hasa unapoogopa kusimamia rasilimali zako
 
Mkuu acha kuwasemea watu. Inamana mpaka Januari 2014 soko halitaafunguliwa tu! Watakula nini?
Muda wote wa maandamano wewe ulikua umejifungia ndani unatype.

Mkuu kaka Jambazi,
Ukweli hupokelewa kama ulivyo,
Hiyo ndio hali halisi
 
Eti wapo wanaodhani watu wa Mtwara wamekaa kimya au wameendelea na maisha yao ya kawaida kwa kuogopa JWTZ au kwa kufyata mikia kwa hofu ya nguvu ya dola,
Watu hao watakuwa wanajidanganya sana,

Kama watakuwa na kumbu kumbu yapata miez mitatu tokea dhaifu pinda atoe tamko lake ya kwamba yale ya Mtwara kayamaliza na hakuna haja ya kuunda kamati teule kwenda huko,

Je,ni nani alitarajia kama wamakonde wangelipuka kwa style ile?

je,ni nani alidhani CCM Dhaifu ingeunda kamati ya bunge kuja Mtwara?

CCM kama wanataka hilo wanalolitaka waendelee kuufanya mkoa huu uwe chini ya ulinz wa askari wenye mitutu ya bunduki humu mitaani kama wanavyofanya kwa sasa,lakini vinginevyo moto huu hawatauweza...

Hatuwatishi,tunawaeleza uhalisia ulivyo,lipo tamko limeshatoka kwamba yeyote atakaeonekana kuja kugombea uongoz wowote kwa ticket ya CCM ama zake na ole wake,asije kumtafuta m'baya wake ni nani..

Yeyote atakae toa huduma ya kijamii kwa askari yoyote wa jeshi la polisi ama zake na ole wake...
Wafanya biashara wa soko kuu Mtwara hadi leo wameendelea kupuuzia tamko la JWTZ la kufungua biashara zao na kuendelea kutoa huduma,je ni nani wa kwenda kuwalazimisha?

CCM kama hawaijui nguvu ya Umma waende wakamuulize Hosni Mubarak Hapo Misri imemfanya nini..

Tutawasumbua sana,Tutawanyima sana Usingizi hadi Kusini yetu ifike pale tunapopataka...

KWA GESI HII,WA MWISHO ATAKUWA WA KWANZA SASA...

we umekosa cha kupost unaandika mambo ya ajabu ,sijui unafaidika na nini ukiandika habari za uchochezi vijana wa bavicha mnamatatizo kweli sijui yataisha lini.
 
kwa mujibu wa hiii post yako sasa nimeamini tatizo siyo gesi bali ni siasa nyie kama ni wajinga ni wajinga tu kama umezoea kutumika hata msipoichagua ccm pengine mkachagua hata mgombea kutoka odm ya odinga bado watakuja wengine watawatumia na mtatumika tu kwa sababu mnapingana na ukweli.
 
na polisi (kova) wameahidi ku-patrol humu ili kusaka wachochezi!

Kokolikoo,
CCM wenyewe wanajua walitoa ahad gani,na kwa sasa wanafanya nin,
kwaiyo kuambiwa na kukumbushwa yale waliyokayaahid wenyewe tunaita vip uchochez?
Hiyo haitazuia watu kusema especially linapopatikana jukwaa huru kama hili..
 
Go go go The Big Show, asante kwa taarifa. Tupo pamoja mkuu.
 
Tusijidanganye kwa kuja na majina ya bandia humu ndio hatutajulikana nani kaandika taarifa za uchochezi kama hizi.

Wataalamu wakitaka kufuatlia wanajua source ya pc au gadget iliyotuma ujumbe na wapi ilipo.

Ni angalizo tunatoa sitishii

wataalamu wa hivyo TANZANIA hawapo.mtu asikudanganye.fikiria mtu anarusha bomu anakimbia wanashindwa kumtrace! watu wamemuua JUAN MWAKYUSA mpaka leo hawajulikani! mimi naamini hakuna mjanja wa kihivyo bongo labda wawaalike FBI.
 
Hii ni issue ya serikali na baadhi ya wana Mtwara sioni CCM inaingiaje hapa unless mna agenda zenu nyingine.

Huoni uhusiano uliopo kati ya issue hii na ccm? serikali hii purely ni ya ccm na walio amua mambo yenye utata ni ma ccm na walioingia mikataba tata ya gesi ni ccm kwahiyo wana Mtwara kuamua kuiadhibu ccm kwa kuwazui watu kugombea ni haki yao.wamedhamiria kiukweli, ukipita mitaani habari ya mjini ndio hiyo kwamba MTU YEYOTE ATAKAE GOMBEA UONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA KUPITIA CCM, NYUMBA YAKE LAZIMA ICHOMWE.KAZI KWA SERIKALI KUCHUKUA TAHADHARI.LISEMWALO LIPO NA KAMA HALIPO........
 
Sasa huko ni kutishiana maisha na si mjadala,kwa mimi ambaye nilishakaa kusini na pia ukilinganisha sehemu kama moshi(nimeshakaa pia)unaona tofauti achilia dar,barabara ya mtwara tandahimba newala masasi mpaka leo kimya na wabunge wa nyinyiem wametulia,ahadi za mr. president hazijafanyiwa kazi matokeo yake wanaingiza makambi ya kugombea urais 2015 .
 
Hii ni issue ya serikali na baadhi ya wana Mtwara sioni CCM inaingiaje hapa unless mna agenda zenu nyingine.

We kichaa nini.....,serikali ya chama gani iliyopo madarakani?Usitake kuwaamisha wananchi kwa huo uharo wako ulioupost.Shnz type.
 
kwa mujibu wa hiii post yako sasa nimeamini tatizo siyo gesi bali ni siasa nyie kama ni wajinga ni wajinga tu kama umezoea kutumika hata msipoichagua ccm pengine mkachagua hata mgombea kutoka odm ya odinga bado watakuja wengine watawatumia na mtatumika tu kwa sababu mnapingana na ukweli.

We unadhani nyie mnavyotumika na ccm ndio wote?
 
mnadanganya watu nyie vijana wa bavicha tangu chama kimeanza kuwalipa kwa kufanya siasa za majitaka mitandaoni imekuwa kelo.

Huyu siyo bavicha wewe ni greengurd aliyechoka kutumika kama kondom.
 
we muache ajidanganye tu akidhani kuwa hawezi kupatikana,wanaweza kutrace hadi nyumba ilimo hiyo computer,watamnasa tu.
Kujaribu kutatua tatizo la Mtwara kwa mtindo huo ni moja ya sababu za kuendeleza mgogoro huu. Huu si muda wa kuanza kuwaandama watu wa Mtwara. Busara ni kuwasikiliza na kujibu hoja zao kwa hoja na si kufanya vioja


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom