Mtoto wa miaka 9 atisha kwa sarakasi mpaka rais Kagame akamuita Rwanda

Makaura

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
892
293
Ni mtoto mdogo wa kike mkenya amekuwa na uwezo mkubwa wa kuruka,kucheza na sarakasi ya kipekee, pia ana ujasiri wa kipekee na uwezo mkubwa wa kujieleza, leo the citizen tv wamemrusha live.

Mh Kagame amemuita nchini Rwanda kama sehemu ya zawadi kwake.

My take: Laiti ningekuwa naamini uwepo wa kitu kinaitwa Freemanson ningesema ndio anatumia.
 
Ni mtoto mdogo wa kike mkenya amekua na uwezo mkubwa wa kuruka,kucheza na sarakasi ya kipekee, pia ana ujasiri wa kipekee na uwezo mkubwa wa kujieleza, leo the citizen tv wamemrusha live. Mh Kagame amemuita nchini Rwanda kama sehemu ya zawadi kwake. My take, laiti ningekua hua naamini uwepo wa kitu kinaitwa Fremanson ningesema ndio anatumia.

Ndugu Makaura kwani hiyo Fremanson ndio nini?
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli freemasons ukiwa na kiwanja na vifaa vyote vya ujenzi wa nyumba wanakujengea bila malipo yeyote?na wanapatikana wapi?
 
Ndugu Makaura kwani hiyo Fremanson ndio nini?

ni wajenzi huru,mimi ni mmoja wao.wewe nionyeshe tu kiwanja chako nikunyanyulie nyumba mpaka kupaua.rangi na mambo mengine watafanya wengine.
 
Last edited by a moderator:
Ni mtoto mdogo wa kike mkenya amekua na uwezo mkubwa wa kuruka,kucheza na sarakasi ya kipekee, pia ana ujasiri wa kipekee na uwezo mkubwa wa kujieleza, leo the citizen tv wamemrusha live. Mh Kagame amemuita nchini Rwanda kama sehemu ya zawadi kwake. My take, laiti ningekua hua naamini uwepo wa kitu kinaitwa Fremanson ningesema ndio anatumia.

Kwani Freemason ni aina ya pombe?
 
Bongo bana dogoo akifaulu la saba free mason hii nimeshudia. Ukifululiza kula nyama kila cku wewe ni freemason. Kwa ufupi tu nchi yetu imeshehen na mahamuma wawaliokubuhu. Nyambaff zetu!!
 
Back
Top Bottom