Je, unajua sheria za kuvaa tai?

Je, unajua sheria za kuvaa tai?

usipoke balance kama 100au200 unaacha dukani
 
Usikimbie mvua!na ukikutana na mtu anayekudai mlipe asije akukunyonga
 
Ukivaa tai hakikisha unajua na kuifunga, maana unaweza kukutana na mtu akakuomba umsaidie kufunga ukaumbuka
 
Usikojoe vichochoroni,na ukijamba jamba kiproffessional
 
Back
Top Bottom