Recent content by charleston prince

  1. charleston prince

    UTAFITI: Wanaume wengi wenye vitambi ni wavivu, wazembe na watu wa hasira...

    acha kujudge Kitabu kwa kuangalia kava lake...Dont generalize people mi mwenyewe bonge lkn mambo yangu yako fresh...i can think and Reason well...my wife can enjoy well.
  2. charleston prince

    Matusi katika picha ya tangazo la Wema / Airtel

    Huyu mtoa mada ana fikra za kishetani....nafkiri atakuwa mmojawapo wa wale waliotafsir neno TOYOTA....et to....yote Tz wakasahau kuwa n compun ya kutengeneza magar huko abroad...mada nyingine b4 yu present to Jf Think First...Dont Judge every thing in a negative way.
  3. charleston prince

    Natamani sana kuolewa. Ni tatizo au?

    Nakupa pole sana Dada lakini kaa ukijua lolote gumu linalomkabili mwanadamu jibu lipo cha msingi usikate tamaa...ebu jiulize ungeenda kwa Doctor kucheki afya majibu yakaja umeathirika kipi bora kuwa mzima alafu uko single au ni mwathirika alafu upo na mwenzako kwenye ndoa...jipe moyo ktk Bwana...
  4. charleston prince

    Msaada kwa aliye na iv 2013

    JAMANI NAOMBENI USHAURI...mimi nilimaliza form six tangu mwaka 2010 nilipata Division three ya point 14 na baada ya hapo sikuomba chuo badala yake nilienda nje kusomea koz fulan ambayo hata hivyo sikuimaliza...sasa hivi nina hamu ya kwenda ualimu wa secondary ...je itawezekana kupata Nafasi ya...
  5. charleston prince

    Ndege ya Air Tanzania yaponea chupuchupu kuanguka

    Huu ulikuwa ni mpango tu wa watu ambao wako against ATC becoz ktk hali ya kawaida hiyo haipo kwa mtu au watu ambao wanajua kabisa kuwa hawajabeba magunia ya ulezi mle ndan...hapo hata shetan alitikisa kichwa kwa huu uzembe...jaman Atc Tuwe serious ktk kuzibeba Roho za wa TZ angani.
  6. charleston prince

    Mume wangu kiboko

    Duh...huyo jamaa amesahau kuwa too much is harmful...na akumbuke kuwa yeye ni mwanadamu na siyo jogoo...ndege ni wako unamshikia manati wa nini...kiasi tu kama vile glass ya wine sebuleni...taratiiibu...fujo za nini unataka kumaliza bufee yote wakati sherehe ni yako.
  7. charleston prince

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 23 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge kwa sura ya 1 & 6

    Jamani huyu komba neno kama hilo kalipata wapi? amekosa maneno mengine ya kutumia? atuache na amani yetu watanzania hatutaki shari...serikali tatu hakuna anaeitaka hata kwa Dawa na hii ni kutokana na madhara yatakayotokea kwa taifa letu baada ya kukubali huu uchafu....serikali tatu haikubaliki
  8. charleston prince

    Yesu Bandia Aonekana Akiwaponya watu huko Ghana Nchini.

    Sasa huyu Yesu mbona anaonekana kama mtu kabisa huku unasema ni wa kuchora
  9. charleston prince

    CHADEMA, Mshaurini Dr. Slaa abadilike, anakiua Chama!

    Haya maneno mnayozungumza dhid ya chadema n ya kwenye kanga cdm n nan tangu uhuru cha maana hakuna .. cha msingi chadema washike hatam 2015 chin ya jemedar Dr. Slaa. halafu mambo yakianza kuwa mazur wewe na cdm yako lazima utafute pakujificha.
  10. charleston prince

    Timbwili Lahamia Kanisani Moravian Kinondoni-Ibada Yashindwa Kuendelea

    ukiskia kuyumba ni hivo. ugomv siyo ishu bal kaen chin muyamalize kwa kuweka wazi hayo maesab kwa waamin.
  11. charleston prince

    PICHA: Ajali mbaya mlima Sekenke - Lori la Mafuta lateketeza wanne kwa moto!

    Huu mlima ni hatar sana Tanroad iangalie jinsi ya kupafanyia modification hata mabams makubwa ili kupunguza ajali
  12. charleston prince

    PICHA: Ajali mbaya mlima Sekenke - Lori la Mafuta lateketeza wanne kwa moto!

    ama kwel cc binadam kifo tumeumbiwa . R.i.p. ndugu zetu.
  13. charleston prince

    Huyu mzungu mwafrika au mwarabu jamani?

    Duh kumbe hakuna kiumbe mbaya Dunian cha msingi tu awekwe fresh.. mla panya katokelezea kinoma
Back
Top Bottom