Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Nahisi mimi ndio nitakuwa mume wa huyo rafiki yako.
Hahahahaaaa sasa kwa nn unafanya hivyo mkuu? Ka unakomoa !!
Nahisi mimi ndio nitakuwa mume wa huyo rafiki yako.
Hahahahaaaa sasa kwa nn unafanya hivyo mkuu? Ka unakomoa !!
Hivi mume anapewa au anajichukulia hebu tuelewane kwanzaHaya ni maneno ya mfanyakazi mwenzangu akilalamika mumewe anataka kumgegeda kila siku anasema imekuwa ni tabia mpaka na yeye amezoe ikitokea siku mbili kajifanya bizy kutompa basi humo ndani mume ni kununa tu mwanzo mwisho, swali anauliza kiafya sio mbaya mana anaona kama ni tatizo kila siku lazima awajibike kumpa mpaka anasema siku asipodai tu atajua kachepuka na pia anahisi asipompa atachepuka nje wanajamvi tumshauri najua hapa haliharibiki jambo wenye matusi kwenuuu hapa jf raha tuu.
Ha ha ha ha basi mpe chance isee kachoka ki ukweli du
mzee anataka hadi akiwa kwenye siku zake..katisha
...akitaka kila siku (shida)....kwa wiki mara moja...(taaabu)...mara moja kwa mwezi...(kizungumkuti)...Nini maana ya kusogeza huduma karibu?....(it means self service) wenzio wanaihitaji ila hawaipati hata ya kununua
Muambie apunguze maufundi.
ila jamaa anaweza kuwa mgonjwa huyo. Mkewe akisafiri mwezi mzima itakuwaje?
Hata kama ni mimi still naitaji msaada
Haya ni maneno ya mfanyakazi mwenzangu akilalamika mumewe anataka kumgegeda kila siku anasema imekuwa ni tabia mpaka na yeye amezoe ikitokea siku mbili kajifanya bizy kutompa basi humo ndani mume ni kununa tu mwanzo mwisho, swali anauliza kiafya sio mbaya mana anaona kama ni tatizo kila siku lazima awajibike kumpa mpaka anasema siku asipodai tu atajua kachepuka na pia anahisi asipompa atachepuka nje wanajamvi tumshauri najua hapa haliharibiki jambo wenye matusi kwenuuu hapa jf raha tuu.
Aisee! Kila siku!!?? Huyo mwanaume mgegedeo haumuumi?? Mme wake anafanya kaz au ni baba wa nyumban??