Ni muda mfupi tu tangu Madiwani wawili CHADEMA wa Shinyanga mjini watangaze kujiuzulu na kuhamia CCM,Dr Slaa ameibuka na madai mazito kwamba Chama Cha Mapinduzi wamehusika na mchezo mchafu wa kuwanunua Madiwani wake ili kukidhohofisha CHADEMA.
Dr. Slaa alitoa madai hayo wakati akiwa katika za kumnadi Mgombea Ubunge wa Chadema Bi Tendega.Madai ya Dr Slaa yanashangaza kwakweli na inaonyesha ni jinsi gani Viongozi wa juu wa Chama wanavyopenda kutoa kauli nyepesi kuhusiana na matatizo yanayoikabili CHADEMA.
Bahati mbaya sana tatizo hili la Viongozi wa CHADEMA kupenda kuiingiza CCM kila wanapokabiliwa na matatizo ya ndani limeonekana kuwaambukiza Wafuasi wake pia.
Hivi ni nani asiyejua kuwa CHADEMA wamegawanyika japo Viongozi wanatumia nguvu kubwa kuionyesha Dunia kuwa hakuna mgawanyiko wowote?Pamoja na Dr. Slaa kujaribu kuficha hali halisi iliyoko ndani ya Chama lakini mwisho wa siku akaonekana kukiri kiaina kuwepo kwa mgawanyiko pale alipodai milango iko wazi kwa yeyote anayetaka kuhama CHADEMA.
Dr. Slaa unaua CHADEMA.
Ben Saanane. CCM hawaishi vituko, eti adui yao wanaona ni mgonjwa ila wao wako busy kushauri dawa ya kunywa ili apone. Na wanaonyesha hudhuni kubwa usoni eti mgonjwa atakufa tumieni dawa hii. Sasa dawa wanayompatia adui chupa imeandikwa Maji ya Uzima ila ndani iko Dawa ya kumaliza maisha.
Hii ni kama wakati wa maamuzi ya KK juu ya MM watatu ushauri wa huruma ulikuja mwingi tuu na leo kiko wapi?
Unahusiana tu
hoja ni ile ile
je Slaa hachoki? hazeeki? hakosei?
kwanini yeye tu? hakuna wengine wanaoweza shika post yake?
Nchi ya kaskazini? Remember 23 bila
Kwani chadema ikifa si ndo furaha yenu sasa unalalamika nini? Mnawanunua kwa hela halafua mnalalamika eti Dr. Slaa anawalaumu CCM kwa kuwanunua madiwani wake.. Kwani ni uongo?
mkuu , chadema inaongoza nchi kutokea TENGERU KWENYE SHAMBA LA MTEI?
Ni muda mfupi tu tangu Madiwani wawili CHADEMA wa Shinyanga mjini watangaze kujiuzulu na kuhamia CCM,Dr Slaa ameibuka na madai mazito kwamba Chama Cha Mapinduzi wamehusika na mchezo mchafu wa kuwanunua Madiwani wake ili kukidhohofisha CHADEMA.
Dr. Slaa alitoa madai hayo wakati akiwa katika za kumnadi Mgombea Ubunge wa Chadema Bi Tendega.Madai ya Dr Slaa yanashangaza kwakweli na inaonyesha ni jinsi gani Viongozi wa juu wa Chama wanavyopenda kutoa kauli nyepesi kuhusiana na matatizo yanayoikabili CHADEMA.
Bahati mbaya sana tatizo hili la Viongozi wa CHADEMA kupenda kuiingiza CCM kila wanapokabiliwa na matatizo ya ndani limeonekana kuwaambukiza Wafuasi wake pia.
Hivi ni nani asiyejua kuwa CHADEMA wamegawanyika japo Viongozi wanatumia nguvu kubwa kuionyesha Dunia kuwa hakuna mgawanyiko wowote?Pamoja na Dr. Slaa kujaribu kuficha hali halisi iliyoko ndani ya Chama lakini mwisho wa siku akaonekana kukiri kiaina kuwepo kwa mgawanyiko pale alipodai milango iko wazi kwa yeyote anayetaka kuhama CHADEMA.
Dr. Slaa unaua CHADEMA.
Hawa wa Shinyanga ------------ na Masele, sasa jamaa sijui wanabisha nini?
are u sure? utaisoma namba 2015Anakiuaje chama ambacho kilishajifia siku nyingi zilizopita?
Unaona unavyozidi kulithibitishia jamvi kuwa mna tofauti ndogo sana na mnyama nyumbu kiakili.
nimetiririka kwa kiswahili, wewe unajibu kwa kibagladesh,
MAHAKAMA:-
USHAHIDI UMEJITOSHELEZA.
wewe kama mtoto wa KIONGOZI WA CCM ( HII NI KUTOKANA NA UTAFITI KWAMBA WATETEZI WA CCM HAPA JF NI WATOTO AU WAKE WA VIONGOZI ) KWANINI USIMUACHE SLAA AIUE CDM BADALA YA KUMTONYA ? ILI NYINYI MUENDELEE KURITHI VYEO VYA BABA ZENU KAMA MTOTO WA MGIMWA !
Hivi huwezi kutumia kichwa chako kufikiri mawazo mbadala hata siku moja tu!maana always wewe ndo waleee "tunaunga mkono maamuzi ya kamati kuu..."CCM wamewanunua ndio. Hata Dr Slaa asingesema ningesema mimi...