Recent content by Charles_nicholaus

  1. Charles_nicholaus

    JamiiForums Tanzania Yawezekana Waafrika sio watu na msinibishie🤣😂

    Hiyo nayo point
  2. Charles_nicholaus

    JamiiForums Tanzania Huwa unazingatia "expire date" kila ununuapo bidhaa?

    binafsi huwa nakagua baada ya matumizi, hata sijui kwa nin
  3. Charles_nicholaus

    JamiiForums Tanzania Je, lengo lako la kuingia online muda huu lilikua ni lipi ?

    kusoma threads hapa jf
  4. Charles_nicholaus

    JamiiForums Tanzania Huwa unafanya nini kwenye maisha ili usiwe bored?

    kucheza na kuaangalia mpira ndo activities zangu
  5. Charles_nicholaus

    JamiiForums Tanzania Mamaake ni Single Mother lakini kamkataza asioe Single Mother

    Kama bi mkubwa wake hataki, bac atafute mke mwengne na kama bi mkubwa wake alikuw single mother bac anajua changamoto zao
  6. Charles_nicholaus

    JamiiForums Tanzania Nimekua kivutio sana kazini

    umemkosea sana kumbe ni beautful boy na sio handsome boy
  7. Charles_nicholaus

    JamiiForums Tanzania Marekani yaipa saa 48 iran kufungua mlango wa hormuz lasivyo itaiangamiza

    Onyo hilo limetolewa na rais wa marekan trump iwapo iran haitofungua mlango huo muhimu kwa biashara ya mafuta duniani itaanza kuangamiza mitambo ya umeme iran.
  8. Charles_nicholaus

    JamiiForums Tanzania Marekani yaipa saa 48 iran kufungua mlango wa hormuz lasivyo itaiangamiza

    Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa Marekani “itaiangamiza kabisa” mitambo ya umeme ya Iran ikiwa haitafungua Mlango wa Hormuz ndani ya muda wa saa 48 uliowekwa. Rais wa Marekani, Donald Trump, aliipa Iran muda wa saa 48 siku ya Jumamosi kufungua tena Mlango wa Hormuz, akionya kwamba...
  9. Charles_nicholaus

    JamiiForums Tanzania Nadaiwa na microfinance million Tano

    sahihi
  10. Charles_nicholaus

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Sowah tulimuondoa kambini Dodoma, tukamrejesha Dar

    hata akiikosa derby, hana mchango wowote kwenye club.
  11. Charles_nicholaus

    JamiiForums Tanzania Kama sio pesa ungeendelea kufanya kazi unayofanya sasa?

    Habari jf-members kama si pesa, je unaweza kuendelea kufanya kazi unayofanya sasa? Kuwa mkweli
  12. Charles_nicholaus

    JamiiForums Tanzania Naomba kukaribishwa mimi Pacific sixteen

    Karibu sana!
  13. Charles_nicholaus

    JamiiForums Tanzania Tukutane kwenye discussion!

    Habari JF-members! Ni dharau gani walikuonesha watesi wako ikakupa moyo wa kupambana zaidi?
  14. Charles_nicholaus

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wenu hapa, asome kombi gani?

    kikubwa achaguliwe A-level hapo kwenye phyz atapiga hata tuit
  15. Charles_nicholaus

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wenu hapa, asome kombi gani?

    Habari za leo jf-members kuna mdogo wangu amehitim form 4 mwaka jana anataka akasome A-level PCM Kwa matokeo haya physics-D chemia-B mathe-B division i-17 IVI INAWEZEKANA INGALI KUWA PHYSICS AMEPATA D?. Naomben ufafanuzi.
Back
Top Bottom