Recent content by charles julius

  1. C

    JamiiForums Tanzania Anna Mghwira avuliwa uenyekiti ACT-Wazalendo, Yeremia Maganja akaimu uwenyekiti

    Jokaa? He unajua unachokisema? huyu ni Rais wa nchi siyo mbunge au mkuu wa mkoa sawa? Ndiye aliepewa mamlaka na katiba siyo maneno mbona kwa huyu mama maneno yamewatoka sana alipaswa akuteueni??? Hamna sifaa.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Anna Mghwira avuliwa uenyekiti ACT-Wazalendo, Yeremia Maganja akaimu uwenyekiti

    Hajateuliwa na Mwenyekiti wa chadema ataifuataje na je IPO? Siilikuwa website ilishatoka? Kama ipo naomba maana Mimi nilishinwa kufanya maamuzi baada ya kukosa huo muongozo.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Anna Mghwira avuliwa uenyekiti ACT-Wazalendo, Yeremia Maganja akaimu uwenyekiti

    Jamani kwani ilani iliyopewa mamlaka na wananchi ni ipi?mnakumbuka ya chama Fulani tena chama kikubwa tuu uliambiwa utaikuta website? Haijulikani sasa hata Kama wewe ndiwe unaependekeza utampendekeza yupi Kati ya hawa mmoja hujui hata ukimteua atafanya nini mwingine alikupa malengo bila shaka...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Bei mpya za bia kuanzia tarehe 01/04/2016

    Denoo49 kakojoe ulale maana unashombo ktk hili
  5. C

    JamiiForums Tanzania John Mnyika ashindwa kushiriki kazi za Kamati

    Kigodoro ni msaidizi wa muhusika mbona tusimuelewe?
  6. C

    JamiiForums Tanzania Tatizo sio Demokrasia bali ni kuona chini ya Magufuli Wazungu hawana lao

    Mnaotegemea zaidi tegemezi ndo mtababaika mie naomba wasibadili mawazo warudi kuitoa wewe ulikuwa kwa babayako miaka mingapi na sasa uko wapi? Ni sawa tuu tofauti ni rangi shtukeni wenzetu wa upandewapili tulieni dawa iingie.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

    Muombe mie naomba CV ya mbowe maana sina namba za DJ
  8. C

    JamiiForums Tanzania Watumishi hewa kwenye Halmashauri

    Wadanganyeni wasiyojua
  9. C

    JamiiForums Tanzania Watumishi hewa kwenye Halmashauri

    Wakulaumiwa ni huyo rais wako uliyetaka awe rais bila kuchaguliwa na wananchi kama kaonewa kwanini asiende znzr?
  10. C

    JamiiForums Tanzania Watumishi hewa kwenye Halmashauri

    Hivii Magufuli ni mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ya Zanzibar mbona aliongelea mapema hatoingilia?
  11. C

    JamiiForums Tanzania PICHA: Jinsi Mbunge Halima Mdee alivyosherehekea Siku yake ya Kuzaliwa

    Ametimiza miaka mingapi?
  12. C

    JamiiForums Tanzania Huu ndo Ukweli kuhusiana na Club ya Simba

    Jamani ukweli unabakia kuwa hivyo ustarabu ni kupinga kwa hoja kwa kuzimgatia historia Kama mtoa hoja alivyo toa ya kwake swala la muda gani ndani ya JF siyo sababu nawasilisha.
  13. C

    JamiiForums Tanzania CCM wanamhujumu Lowassa

    Mnadhani tunasahau mapema kiasi hicho?tabia ya muongo husahau miaka 10 alikuwa fisadi tena wakutupwa ila baada ya kukatwa akawa Lulu isiyoisha thamani hivii kweli unajitambua?
  14. C

    JamiiForums Tanzania Makampuni 210 ya Clearing & Forwarding yasimamishwa kutoa huduma na TPA

    Ziliuzwa kwa watu gani na kipindi cha nani hijielewi unaehitaji nyumba au ndo walewale hapa kazi tuu.
  15. C

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein: Upinzani ni vibaraka!

    Jamani kilakitu kinafuata utaratibu huyo Maalim Seifu aliyechaguliwa na wananchi alitangazwa na nani kuwa mshindi?mbona wskati mwingine ipaswa awe jela kwakujitangaza hapa mroho wa madaraka ni seifu
Back
Top Bottom