Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Kama ccm kitakavyo potea kwa michezo yakuigizaPolitically, Lowassa is finished.
Kama ccm kitakavyo potea kwa michezo yakuigizaPolitically, Lowassa is finished.
Nami ndivyo nilivyo uliza katika post namba 25!Huo u Dakitari.alipewa lini?? Na wapi? Kwanini?
Naomba kujibiwa
Ni makosa kumuita Lowassa "mstaafu". Lowassa ni Waziri Mkuu Mjiuzulu. Ndo Kiswahili sanity.
Ndio maana kila siku nawaitaga nyinyi ni viwavi, unapiga kelele na kushangilia kwa jambo ambalo linakuumiza moja kwa moja,wewe mtoto wako anasoma st kayumba lkn kwa upopoma wako unashangilia tu kama zuzu tuumaarufu huo labda kule monduli, huku watu walishasahau hata uwaziri mkuu wa lowasa
Unaongea ukweli mtupu mkuu,kumbuka kuwa usemi wa penye miti hakuna wajenziLowassa ni madini ktk hii nchi kwa bahati mbaya tumeshindwa kumtumia, lkn atakumbukwa vizazi Na vizazi mtumishi huyu
hiyo haiepukiki bro, sio wote watakaosoma Harvard hata kama wanapendaNdio maana kila siku nawaitaga nyinyi ni viwavi, unapiga kelele na kushangilia kwa jambo ambalo linakuumiza moja kwa moja,wewe mtoto wako anasoma st kayumba lkn kwa upopoma wako unashangilia tu kama zuzu tu
corrupt statueUnaongea ukweli mtupu mkuu,kumbuka kuwa usemi wa penye miti hakuna wajenzi
Mkuu tulikumis sana pole Na majukumuUnaongea ukweli mtupu mkuu,kumbuka kuwa usemi wa penye miti hakuna wajenzi
Mkuu poa wacha hawa wala viwavi waisome namba kwa kuanza kutumia sukari guru maana ndio walikuwa wanapiga vigeregere juu ya issue ya sukariMkuu tulikumis sana pole Na majukumu
Hivi ng'ombe mnachungia wapi? Mzeri au Monduli?Mkuu poa wacha hawa wala viwavi waisome namba kwa kuanza kutumia sukari guru maana ndio walikuwa wanapiga vigeregere juu ya issue ya sukari
Naona mtoa mada kaingia msituniNami ndivyo nilivyo uliza katika post namba 25!
swali hili kamanda ingekuwa busara kwanza ungewauliza Lissu Tundu ,Dr Slaa, team Mbowe yote bila kusahau Kubenea. hawa wazee walijigamba wana ushahidi wote kuwa Lowasa ni fisadi. rejea magazeti ya Kubenea, magazeti ya kiuchunguzi wa ukweli kama alivyojitapakaga. list of shame ikiandaliwa na nani kwani? ? na tueleze kwa nini iliondolewa kwwnye mtandao wa chadema yetu. msituchanganye makamanda tusije tukatoa matusi hapaHivi ukiuli zwa upapa wa ufisadi wa lowassa uko wapi utasema nini, kawaambia mthibitishe mmeshindwa, hivi nyinyi ni jamii ya viumbe gani?
HahaahaUmaalufu ! Shule ya kata iliyochakachuliwa!
Alipo tupo, mtakufa Na vijiba vya rohoangeonyesha mfano monduli alikuwa mbunge kwa muda mrefuamefanya nini kwenye elimu