Bei mpya za bia kuanzia tarehe 01/04/2016

Bei mpya za bia kuanzia tarehe 01/04/2016

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,303
12376834_783782988419586_3641224295059784083_n.jpg
 
safi sna... kunywa Bia sasa iwe ni lazima
 
Mbona bajeti mpya ya mwaka wa fedha bado haijapitishwa??
Vitu vingine sasa utakua ni uonevu, tena wa wazi wazi.
Wamewahi kabla ya bajeti, maana serikali lazima itaongeza kodi na wao wataongeza bei tena,so zitaonekana hazijapanda sana.
 
Namashaka na ilo tangazo maana limechapwa ka menu ya supu ya makongoro, halina saini logo inayotambulika ......!!
 
Back
Top Bottom