Msimuangushie kocha lawama. Hata huyu Bruno pia ni zaidi ya hasara kwanza leo kawakoseha ushindi. Mechi ya leo ilitakiwa kuleta matumaini kwenu na si vingenevyo
Tatizo la Bruno ni moja. Amezidisha kiburi na kujiona bora kuliko wenzake. Hii game ya Man united ina presure kubwa kuliko mechi zingine zote.
Man u wanatakiwa watulize wenge wasicheze kwa kukamia but hii man u bado sana. Na leo msipokuwa makini mnalala na viatu. Fulham wakipata goli tu basi...
Hakika huyu jamaa kawa mtamu kama mcharo. Napenda akicheza na mtu badi Lavia......tumwombee Lavia apone arudi kwenye kiwango chake na hasisumbuliwe na majerah ya mara kwa mara. Amen
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.