Nilihisi hivi maana Kuna dakika zaidi ya 3 huwa wanakuwa wenyewe baada ya msailiwa kutoka nje.
Japo inawezekana huwa wanakusanya point wanajadili baada ya kumaliza huenda.
Kunasiku humu mlisema nisikae pembeni kisa mlemavu nijitahidi kufika oral, oral nilifika nikapata mkando wangu nashukuru sana, nasubiri matokeo.
Swali langu hivi pale wanapoandika point na wakamaliza tunapotoka huwa wanajadili points zetu na kugawa marks mle mle wakuu si ndio?
Hiyo Editor II naona watu ni 625....pia Kuna mitihani mitatu (written , practical na Oral)
Je kwa wenye uzoefu hii inamaanisha hiyo written tutafanya ya karatasi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.