Afro king
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 531
- 575
Shukran kwa clarifications nzuri mkuu 🫡 na nmeidownload nimesoma apo kipengele cha 15(2) pg.11“Endapo kada moja imesailiwa na majopo zaidi
ya moja, matokeo ya majopo yote yataunganishwa na
kutengeneza orodha moja kwa kuzingatia alama za ufaulu
wa juu mpaka alama ya chini.”
Kanuni za uendeshaji shughuli za sekretarieti ya Ajira katika utumishi wa umma
Utakuta hayo maelezo na mengine mengi uk wa 11