Oral interview kada ya afya: tupeni feedback

Oral interview kada ya afya: tupeni feedback

Sex body mkuu kwenye maswali yako ni kumention tu hamna kutoa mifano na maelezo au ulitoa mifano na maelezo kidogo??
 
Mimi nilitoa tu maelekezo kwa kujiamini afu sikuacha hata swali moja yote nilijibu neno kwamba hujui usutamke kabsa we jitahidi ujibu
Ubarikiwe sana sana mkuu.... Mungu akutangulie kwenye safari ya majukumu na maisha kwa ujumla.
 
Habari.

Usaili ni vita kama vita vingine.

Inategemea we we umeamua kutumia silaha ipi kuingia uwanjani.

Mimi picha linaanza sikujishugulisha na mikoa yenye competition kubwa niliomba maporini.

Usaili wa afya.

Vitu vya kuzingatia ni vyeti hakikisha haumiss Document hata Moja watu wengi walooshia mlangoni.

Written usifanye kwa kigezo cha kupata 50 competition kubwa kada zote wamechuja kwa kuangalia ratio ya 1;3 na matokeo waliyaunganisha Tz nzima.

So usiende kichovu kama ni mwalimu wa bailoji inaamaana matokeo ya bailojia wataunganisha Tanzania nzima kisha wataangalia ratio ya 1 ya 3 hata kama atapata 80 wao watachuja hapo hapo.


Kingine upande oral pitia kila kitu maana maswali wanayotoa hata mtu ukutarajia ulikomalia mambo makubwa tu na kusahau madogo.

Swali La duties wanalitoa Ila kimtego hawaendi direct.

Kingine oral hizi confidence na usifikiri fikirie kwenye chumba cha usailo majamaa yanajali Sana muda inaweza kuambia Time is over kwwma swali La introduced yourself wengi walikatizwa.

So jipange kibinadamu na usiache kumwamini Mungu.

Utafanikiwa.

Una swali.?
Ration ya 1:3 maana yake nini kwenye kuandaa matokeo..!?
 
Back
Top Bottom