Ninaambiwa kisa ni watoto wa wenyewe kusoma Marekani na kisha hivi sasa kwa Vigogo na Vizito wa Tanzania kuwa wabia wa Marekani katika kuhakikisha wanachimba madini mbalimbali ya Tanzania ikiwa ni pamoja na dhahabu, almasi, mkaa wa mawe, uranium na cobalt bila Mtanzania wa kawaida kunufaika na...