Pole sana ! Omba kwa ajili ya vita iliyopo ndani yenu kupitia mama Yako mzazi ! Mungu akuongoze zaidi ...akupe maarifa na hekima zaidi jinsi ya kuamuaa na kuhakikisha usimukwaze mama !! AU AKIJA SEHEMU YOYOTE SEMA MANENO HAYA KIMOYO MOYO "Mungu najua wewe unawajua wazuri wangu na wabaya wangu,Na...
Habari za wakati huu,
Moja kwa moja niingie kwenye mawazo yangu ya muda mrefu nijaribu kufafanua kidogo kadri nilivofikiria mimi binafsi
Pia kama utakuwa na wazo lolote pia usisite kuandika hapo chini ...
Binafsi nimekuwaga muhanga wa kuteseka hospitalini miaka hiyo kipindi na umri wa miaka 8...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.