Tuishauri nini Serikali ili kila mtanzania apate matibabu bure?

Changamka

Senior Member
Joined
Sep 27, 2015
Posts
149
Reaction score
161
Habari za wakati huu,

Moja kwa moja niingie kwenye mawazo yangu ya muda mrefu nijaribu kufafanua kidogo kadri nilivofikiria mimi binafsi

Pia kama utakuwa na wazo lolote pia usisite kuandika hapo chini ...

Binafsi nimekuwaga muhanga wa kuteseka hospitalini miaka hiyo kipindi na umri wa miaka 8 hivi... okay nirudi kwenye maoni yangu

Nimejiuuliza kwanini pasiwepo na matibabu bure kwa kila mtanzania ??

Ehee, Kuna baadhi ya wananchi kipato chao cha kila siku bado ni duni ..sasa inapotokea mambo ya magonjwa yanapotukabili huweza kuyumba kimaisha takiribani miaka kadhaa kabisa ...yaani umeugua kwa muda mfupi lakin gharama zake zitakufanya uyumbe kimaisha miaka kadhaa ... mfano kwa sisi famiia yetu kipindi hicho dah !! (Thanks God)

Maoni yangu ili tuweze kufikia matibabu bure kwa kila mtanzania inabidi tukubali kabisa kwa moyo mmoja ..ziwepo tozo mbali mbali na ziwe za chini kabisa ..binafsi napendekeza

1. Pawepo na tozo kwenye mitandao mfano nikinunua vocha ya shng elfu moja,sasa hiyo elfu moja ikatwe tozo itakayo kwenda kwenye afya moja kwa moja ama itakayo ingia kwenye mpango wa kila mtanzania kupata matibabu bure ... aslimia 5% tu

2. Mafuta pia hivo hivo

3. Napendekeza pia hizi fain za barabarani tozo iwepo ili mtu akipigwa faini 30,000 ajue kuna aslimia kadhaa zinaenda kumsaidia wazizi na bibi zetu kule kijijin ..hapa napendekeza ziwe aslimia 25% tu

4. Zile fain za kimahakama kwa watuhumiwa pia ziwekewe tozo ... huko pia 25%

5.....

NIMEWAZA HIVI LEO ... 30/06/2021

NAKUPENDA TANZANIA YANGU... JE WEWE UNAUSHAURI GANI KUHUSIANA HILI ??

Nakaribisha kukukosolewa pia ....

#CHANGAMKA
 
Habari za wakati huu

Walipe wenye starehe!Hawa njaa hawna na kwenye sigara.
 
Unaonaje wale vigogo (rais, mawaziri, wanyonge, makatibu wakuu nk) wasiokinawatoa kodi (stahiki)? Kodi kidogo kwao kwa uzalendo isingependeza mkuu?
 
Ni maoni pia
 
Back
Top Bottom