Saikolojia: Fahamu tatizo sugu la wasiwasi (Anxiety disorder)

kuwa na Hofu ni kawaida mfano Hofu ya Mungu tunasema ni normal lakini Woga wa Mungu ni abnormal

Machale huambatana au kubeba tahadhari katika tendo au uamuzi na sio uoga au kuogopa

Wasiwasi soma nimeelezea vizuri ktk tafsiri na mifano yake ila unapoendelea ndio huzaa woga

ni misamiati inayoingiliana lakini ni tofauti



Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Mkuu ... Nauliza mwendelezo wa Somo lako
 
Mkuu ... Nauliza mwendelezo wa Somo lako
Daah mkuu hyo hali ata Mimi hunitokea na huwa na jiuliza wapi huu uoga na hofu hutokea...? Sipati jbu kabsa

Yaani kutendo cha demu kuniambia nakuja hofu nayo inakuja kujiamini kunapotea kabsa.

Ila nashukuru Mungu sa hv nimeiprove kidogo..
Nafanya mazoezi...
Nasoma vitabu vya kuniongezea ujasiri...
Najihidi Sana kuwazoea wanawake hasa kupiganao story na kusoma madhaifu yao...
Fanya Sana meditation as much as I can...

Mwisho,najiambiaga maneno positive "I know, I can".
 
binadam ukumbuke tuliishi katika kipindi cha zamani miaka tuseme miaka 10000 iliyopita kwa wakati huo hamna teknoloji yoyote ya kukulinda dhidi ya maadui kama wanyama wakali au vinginevyo.kwa muktadha huo ambao upo hata kwa wanyama wanaoishi sasahivi njia za kujiokoa huwa 2 yaani FIGHT or FLIGHT.
mbali na hiyo kuna aina 2 za kimaamuzi hutokea katika hatari ambayo maamuzi haya huitwa FALSE POSITIVE na FALSE NEGATIVE.
mfano unatembea ukahisi kwenye majani kuna nyoka kwa uoga wa hatari ya kuumwa ukakimbia lakini kumbe hakuna nyoka kwenye majani!!...hiyo ni FALSE NEGATIVE.
mfano mwingine unatembea ukaskia mtikisiko kwenye majani lakini ukapuuzia tuu kwamba hamna lolote kumbe kuna nyoka na akakugonga hiyo ni FALSE POSITV.
ubongo unaohusika na kukupa taarifa ya hatari yoyote hauwezi kutofautisha hatari ya UONGO na UKWELI kikubwa inachofanya yenyewe ni kukuweka uwe SAFE tu.mfano kuna watu wanaogopa mende au panya ingawa anafahamu kwamba hawa wadudu hawawez kuwa hatari sana lakini anaogopa.kuna watu wanaogopa kuendesha gari highway asilani abadan.tatizo lililopo ni hii department ya kukuzuia wee usidhurike na hatari inapohusisha vitu visivyo vya hatari wewe uone ni vya hatari.ili kuifanya hii part isiogope vitu hivyo ambavyo unajua havina madhara ni ku FACE vitu hivyo kwa mfano unaogopa kuendesha gari HIGHWAY basi we endesha hivyo hivyo kibishi mwisho utajikuta umezoea hali hii na kuona kawaida kabisa.kma unaogopa Mende mshike hadi akili izoee na iamini kwmba mende hana madhara ukishazoea hata mende akupandie hushtuki.
 
PHOBIA zipo nyingi sana zingine ukiskia unaweza hata kucheka lakini hiki si kitu cha kucheka wala kukifanyia mzaha.naweza kukupa mfano wa wanyama kama tembo au faru.hawa wanyama waliwindwa sana kwa sababu flani flani.sasa chukulia leo hii hawawindwi na ni vizazi vingi vimepita lakini bado wanajihisi wako hatarini mda wote.hawajahi kuona hata bunduki lakini ukiwaelekezea bunduki INSTICTS zao zinaji TRIGGER hapo hapatatosha.ina maana viumbe wote duniani tusingekuwa na hofu ya hatari tungeshafutika kwenye uso wa dunia.kuna watu akiona hata dam ya kuku anachinjwa yeye anazimia...yes wapo.adrenaline rush au dopamine ndio chemical zinadeploy baada ya kiumbe chochote kupata hofu ya hatari.hii hufanya kitendo cha haraka kuongeza misuli nguvu na kutoa jasho mwilini hivyo kutumia energy kubwa sana kukabiliana na hatari hiyo.adrenalin huweza kukufanya ukapita au kuruka sehem kesho ukiambiwa urudie hutaweza maishaaa.jasho linalotoka mwilini hukusaidia kuteleza ndio maana ukiwa kwenye ugomvi unaweza kuwapenya hata watu 5 na wakikushika unateleza tuuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom