Maoni: Uwekezaji ni mzuri zaidi ya Biashara

Gien Banks

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
351
Reaction score
945
Shallom / Asalam Aleykum

Husika na Kichwa Cha Mada Hapo Juu

Katika Pirika Pirika na Mbilinge Mbilinge Zangu Za Hapa na Pale, Mkoa Kwa Mkoa, Mtaa Kwa Mtaa kuzisaka nimekutana, kuona na ku experience changamoto nyingi nyingi sana ikiwamo kukosa wasimamizi bora wa biashara, kuibiwa, kudhulumiwa, kupoteza fedha, kuharibiwa na nyenzo za kazi na biashara etc. Yani ki ujumla maisha ya Mwanaume anayejitambua yamejaa mitahini mingi mingi sanaa....

Hivyo basi katika experience yangu nimegundua ni mara 200 bora niwe

Muwekezaji / Investor (nifanye miradi ambayo chances hela haitorudi kwa haraka ila with time itaongezeka thamani ki ujumla ila itakua ikinipatia fedha fedha ndogo ndogo (inflow of cash flow) endelevu chances labda mpaka nakufa au kuwaamua kurithisha watu wangu wa karibu) na hata nikisema nije kuuza huo mradi bado Nitakuwa nimepata mpunga mwingi sanaa after mradi huo kuwa ume appreciate over time.

kuliko kuwa mfanya biashara wa kununua hapa na kuuza pale for a profit...which is sometimes a gamble, soko hubadilika, stock kuharibika, kuibiwa, technology kubadilka kwa kasi na pia kuhitajika eneo la biashara for almost 24 hours just monitoring your business hivyo chances za kufail ni 80% kama ikitokea haupo karibu for a short while (YES, its possible kufanikiwa sana kwa kuwa businessman ila from my experience ni ngumu sanaa na ni pasua kichwa sanaaaa vibaya mnooo)

Uwekezaji sio lazima uwe na fedha nyingi (billions) ila u need a substantial amount to start investing mifano moja wapo ambayo nimeiwaza....endapo utakua umechanga changa cent zako huku na kule katika deal zako mbili tatu

1. Kununua maeneo sehem ambazo hazija changamka lakini si mbali saaana na mji....maeneo ambayo unajua kabisa hapa after 4 - 8 years patakua habari nyingine...unaweza ukaamua kulima food crops ambayo unaweza vuna kwa muda mfupi mfupi kwenye maeneo hayo (hapa nimeangalia kuhusu mboga mboga, viungo, ndizi etc) na kuyapeleka masoko ya mjini napo si mbali na ukapata hela yako nzuri tu chances hata baada ya mwaka au miaka 2/3 hela uliyonunulia eneo inarudi kisha unaanza kuokota faida. Sio rahisi ila ni afadhali kuliko upande wa pili ambako ku monitor biashara yako 24 hours na wafanyakazi ni pasua kichwa.

Uwekezaji mwingine ukiimarika kifedha zaidi unaweza jenga lodges / guest houses / nyumba za kupanga sehem ambazo uki project siku za mbele patakua an attractive place ki biashara...mfano wenye nyumba maeneo ya stand mpya ya ma bus huitaji PHD kujua kwamba yale maeneo kwa sasa ni hot cake...hotel, lodges, maduka, car rentals etc (If you are getting my point) in other words utakua muwekezaji mahiri sana pale unapofanya projects za kuwawekea platform ya biashara wafanya biashara....acha wengine wapasuke kichwa kuwa wafanya biashara ila wewe buni tu projects za kuwawekea mazingira hayo ya kufanya biashara zao for a fee / rent / commission et al

YES hata walio ajiriwa waweza wakawa wawekezaji wa issue kama hizi na mengine mengi ambayo huenda sija yataja hapa...simply cz wana aspire kufika mbali yet hawana muda na courage ku ru successful businesses while wapo makazini i urge them to see investment as a better saving and future security plan. Running a business isn’t the same as driving a car that when u hit the gas the business moves and hitting the brakes makes the business stop. Its a science, very difficult, challenging and sometimes of painful experience ila try looking into investing (nisameheni wakuu nachanganya lugha [emoji1])

Yupo jamaa yangu mmoja alinunua maeneo mengi mengi sana goba right next na lami like 8 - 10 years ago hela mbuzi sanaa, this year akaja akayauza some of them ambayo aliyatumia kibiashara pia (kilimo cha mboga / vyakula vya kawaida, mke wake alikua fighter pia [emoji1]) akapata hela kaotesha ghorofa hapo hapo Goba + savings zake nyingine kdgo na kila siku anakula hela za rent na biashara yake flani kaweka hapo ambayo halipi kodi cz ni kwake.

So yeaah huo ndio mtazamo wangu wakuu baada ya kuumiza sana kichwa kwenye hili game la maisha nimefanya some investments pia Mungu akinipa umri mrefu na imani zitanitunza mimi na familia yangu hapo baadae ukicheck majukumu nayo kama yote, fanya deal zako au business hapa na pale enjoy life ila have a close look on making smart investments.

Nakaribisha mawazo / maoni / kukosolewa / kujifunza kwenu pia.

Bwana Mungu Awabariki Sana. [emoji1488]
 
YES ila business ni ngumu sana na ukikaa vibaya utapoteza hela nyingi sanaa ambayo ungewekeza inge appreciate

Ndio maana nikasema ukipiga deal zako mbili / tatu hela unayopata focus on kuwekeza

Kama mimi ni dalali (real estate, magari, supplies) ndio my main thing inayonipa side money nyingi ukiachana na my other hustles....
 
Depend on business ila kama utaisoma vizuri biashara yako utajua ni wakati gani ina drop na niwakati gani ina raise, inavyopigwa na dhoruba unamaintain usipotee kwenye game inavyorise unachukua pesa ingine unawekeza kwenye mipango ya mda mrefu.

Mwisho wa siku business ndo inagenerate income ya kuinvest..
 
Ofcourse biashara ya uchuuzi inaboa,inachosha...!
Nunua eka zako 40 panda miti ya mbao taratibu...ndan ya miaka 3 umemaliza kupanda! Ekari zote
Fungua kampuni nk nk...
Fungua shule ,microfinance! Atleast[emoji7]
[emoji3516]
SIMPLE LIKE THIS!!!!

HII MIONGOZO HII!!!
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Haujakosea hata kidogo...kujenga kunaitaji pesa nyingi ndio maana wengi wanafungua biashara..lakini ukiwa na pesa ya kujenga...jenga majengo mengi uwezavyo, nunua viwanja vingi uwezavyo..siku unaweza tokea kwenye pdf ya forbes
 
Naungana mawewe boss . Mfano wote tunaweza kuwa na mil 10 na wewe ukafungua biashara na ikafail baada ya muda unakua umepoteza 10m ila mimi nikanunua viwanja nitakua sijapoteza chochote .

Upande wa pili ni kuwa mtu anaweza akafungua biashara na akafanikiwa pia kufanya investments ila kwa experience ndogo niliyonayo mfanya biashara yoyote ata kama inazalisha kiasi gani asipofanya investments ni rahisi sana kuja kufulia siku moja . Hii humaanisha haijalishi biashara yako inalipa kiasi gani ila mwisho wa siku your future is secured through investments.

Mimi nili invest kwenye kujenga nyumba ya kuishi rafiki zangu walifungua biashara na kipindi cha magufuli biashara zikayumba na wakafunga na pesa ikawa imepotea na ajira pia hakuna na kodi ya nyumba inamsubiri .mwisho wa siku kwa watu tunaotoka kwenye familia za kawaida ni bora kuanza na investments kuelekea kwenye business . Ni akili yangu ndogo tu na naweza nisiwe sahihi pia ila ni msimamo wangu wa kimaisha
 
Uko sahihi kabisa Mkuu, Watu wengi tunashindwa kufanikiwa kwa Sababu tunataka kufanya Biashara tukiwa bado tupo Makazini. Tunakosa Closer Supervision mwisho wa Siku Biashara zinakufa.
 
Shallom / Asalama Aleykum

Husika na Kichwa Cha Mada Hapo Juu

Katika Pirika Pirika na Mbilinge Mbilinge Zangu Za Hapa na Pale, Mkoa Kwa Mkoa, Mtaa Kwa Mtaa kuzisaka nimekutana, kuona na ku experience changamoto nyingi nyingi sana ikiwamo kukosa wasimamizi bora wa biashara, kuibiwa, kudhulumiwa, kupoteza fedha, kuharibiwa na nyenzo za kazi na biashara etc. Yani ki ujumla maisha ya Mwanaume anayejitambua yamejaa mitahini mingi mingi sanaa....

Hivyo basi katika experience yangu nimegundua ni mara 200 bora niwe

Muwekezaji / Investor (nifanye miradi ambayo chances hela haitorudi kwa haraka ila with time itaongezeka thamani ki ujumla ila itakua ikinipatia fedha fedha ndogo ndogo (inflow of cash flow) endelevu chances labda mpaka nakufa au kuwaamua kurithisha watu wangu wa karibu) na hata nikisema nije kuuza huo mradi bado Nitakuwa nimepata mpunga mwingi sanaa after mradi huo kuwa ume appreciate over time.

kuliko kuwa mfanya biashara wa kununua hapa na kuuza pale for a profit...which is sometimes a gamble, soko hubadilika, stock kuharibika, kuibiwa, technology kubadilka kwa kasi na pia kuhitajika eneo la biashara for almost 24 hours just monitoring your business hivyo chances za kufail ni 80% kama ikitokea haupo karibu for a short while (YES, its possible kufanikiwa sana kwa kuwa businessman ila from my experience ni ngumu sanaa na ni pasua kichwa sanaaaa vibaya mnooo)

Uwekezaji sio lazima uwe na fedha nyingi (billions) ila u need a substantial amount to start investing mifano moja wapo ambayo nimeiwaza....endapo utakua umechanga changa cent zako huku na kule katika deal zako mbili tatu

1. Kununua maeneo sehem ambazo hazija changamka lakini si mbali saaana na mji....maeneo ambayo unajua kabisa hapa after 4 - 8 years patakua habari nyingine...unaweza ukaamua kulima food crops ambayo unaweza vuna kwa muda mfupi mfupi kwenye maeneo hayo (hapa nimeangalia kuhusu mboga mboga, viungo, ndizi etc) na kuyapeleka masoko ya mjini napo si mbali na ukapata hela yako nzuri tu chances hata baada ya mwaka au miaka 2/3 hela uliyonunulia eneo inarudi kisha unaanza kuokota faida. Sio rahisi ila ni afadhali kuliko upande wa pili ambako ku monitor biashara yako 24 hours na wafanyakazi ni pasua kichwa.

Uwekezaji mwingine ukiimarika kifedha zaidi unaweza jenga lodges / guest houses / nyumba za kupanga sehem ambazo uki project siku za mbele patakua an attractive place ki biashara...mfano wenye nyumba maeneo ya stand mpya ya ma bus huitaji PHD kujua kwamba yale maeneo kwa sasa ni hot cake...hotel, lodges, maduka, car rentals etc (If you are getting my point) in other words utakua muwekezaji mahiri sana pale unapofanya projects za kuwawekea platform ya biashara wafanya biashara....acha wengine wapasuke kichwa kuwa wafanya biashara ila wewe buni tu projects za kuwawekea mazingira hayo ya kufanya biashara zao for a fee / rent / commission et al

YES hata walio ajiriwa waweza wakawa wawekezaji wa issue kama hizi na mengine mengi ambayo huenda sija yataja hapa...simply cz wana aspire kufika mbali yet hawana muda na courage ku ru successful businesses while wapo makazini i urge them to see investment as a better saving and future security plan. Running a business isn’t the same as driving a car that when u hit the gas the business moves and hitting the brakes makes the business stop. Its a science, very difficult, challenging and sometimes of painful experience ila try looking into investing (nisameheni wakuu nachanganya lugha [emoji1])

Yupo jamaa yangu mmoja alinunua maeneo mengi mengi sana goba right next na lami like 8 - 10 years ago hela mbuzi sanaa, this year akaja akayauza some of them ambayo aliyatumia kibiashara pia (kilimo cha mboga / vyakula vya kawaida, mke wake alikua fighter pia [emoji1]) akapata hela kaotesha ghorofa hapo hapo Goba + savings zake nyingine kdgo na kila siku anakula hela za rent na biashara yake flani kaweka hapo ambayo halipi kodi cz ni kwake.

So yeaah huo ndio mtazamo wangu wakuu baada ya kuumiza sana kichwa kwenye hili game la maisha nimefanya some investments pia Mungu akinipa umri mrefu na imani zitanitunza mimi na familia yangu hapo baadae ukicheck majukumu nayo kama yote, fanya deal zako au business hapa na pale enjoy life ila have a close look on making smart investments.

Nakaribisha mawazo / maoni / kukosolewa / kujifunza kwenu pia.

Bwana Mungu Awabariki Sana. [emoji1488]
Uko sahihi sana,mimi katika maisha yangu naamini sana katika investment kuliko mishe yoyote hapa duniani, ndio maana wazungu walifanikiwa sana kupitia investment kupitia vizaz hadi vizaz.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Chukua milioni 100 kanunue bondi za serikali, ambapo kwa mwaka utakuwa unapata gawio la almost milioni 15.5, halafu nenda Bank kachukue mkopo wa milioni 80 na marejesho ni kwa muda W miaka saba na dhamana ya mkopo huo ni hizo bond za serikali ulizonunua, nenda kanunue bitcoin currency 1 yenye thamani ya milioni 78 kwa sasa then invest, rudi baada ya miaka minne katika investment hiyo uone jinsi thamani ya bitcoin hiyo ilivyokuwa kumbuka na mkopo huo wa bank utakuwa ukilipwa na lile gawio unalopata kwenye zile bond za serikali ulizonunua. Hutojutia
Acha pesa ifanye kazi yenyewe.
Big mind ndo wamenielewa hapo
 
Investments ni nzuri hatukatai lakini vipato vya wengi ni kua hapo hapo anategemea atoe faida itakayopatikana alishe familia.
Na investment ni nzuri kwa wale wenye malengo ya mda mrefu lakini kwa mtu ambae anataka kukua kwa haraka biashara ni chaguo lake, kikubwa usimamizi mzuri.
 
Back
Top Bottom