Mgongo asante kwa shairi, kuna haka kabeti kamesahaulika.. kaweke kwenye pale kable ya beti ya lmwisho
Wakazipanda shambani, mbegu nyingi mbalimbali,
Toka zile za mibuni, hata zitupazo wali,
Na mvua ikaja chini, wakaona na dalili,
Kama tunaka mali, tutazipata shambani.