Wakristo mtachomewa makanisa hadi lini jamani ifike tuseme no imetosha

mkuu sim
ogopa mtu anaeamini majini na mapepo anaweza kukumaliza dk 1 ati.s.asa naona wakristo wenzangu wengi tumefungwa na mapepo ya uvumilivu sasa kila tunachofanyiwa tunajipa moyo mungu atawalipiza atawalipiza wapi ushaona mapepo yanalipizwa mwisho yanakumaliza ati watanzania amkeni jamani sisemi wote ila naaaminiw apo waislamu wanaolaani hii hali na wengine wakichekelea kama mh wetu mis narudia tena tusali tufunge tufunguliwe ufahamu tuliofungwa na mapepo tujue wapi tulipo na nini cha kufanya

unajua hata kwenye baibo wanasema adui yako na afe sasa tunajifanya kuwaombea hawa huku wanaturushia maruhani na kuchoma moto makanisa na mwisho wanatuchoma moto wallahi nawaambia oooh shauri zenu

We sio Mkristo hiyo wallahi hapo chini imedhibitisha.
 
Kuna watu wanaanzisha topic na kujijibu sisi
si kama nyinyi kamwe.
 
Sisi hatuhangaiki na mtu kwa damu na nyama, Akifanya kimwili sheria itamshughulikia na akifanya kiroho huko ndo usiseme maana Roho mtakatifu anajua kazi yake
 
It is very hard mambo haya yakianzaga huwa hayasimami kirahisi. Mungu irehemu Tanganyika.
 
Back
Top Bottom