Kuona vitu vilivyopotea na mwizi aliechukua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuona vitu vilivyopotea na mwizi aliechukua

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mangi waukweli, Oct 20, 2012.

 1. mangi waukweli

  mangi waukweli JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani mimi ni muhanga wa kuibiwa kwa kweli ni karibu mwaka sasa umepita kuna mwizi alivunja gari na kuondoka na vitu muhimu sana sasa kila mahali na kila ninayemuhadithia anasema ni kwamba ni mchoro uliochorwa na mtu aliye karibu na mimi sasa bila kuzunguka maneno nasiikia kuna waganga wana tv ya asili ambayo inaonyesha tukio zima lilivyofanyika naomba mtu anejua sehemu nzuri ya kupata huduma hii na yenye uhakika anijuze na pia kama kuna madhara ya kuangalia iyo tv niambie najua humu kuna watu washa experience kuibiwa vitu muhimu
   
 2. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Pole kwa kuibiwa ila ni busara zaidi ukamshukuru Mungu nae atakupa nguvu ya kutafuta vingine zaidi ya hivo! haya mambo ya TV asilia haya mimi sikushauri uyape nafasi, yatazidi kukutia stress na kukufanya mwehu. Anza upya ndugu yangu, toa sadaka kwa kidogo ukipatacho, ishi na watu vizuri, Mungu atakuweka salama huko mbeleni
   
 3. w

  white wizard JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  mkuu,hakuna ki2 kama hicho,ni uongo tupu,mi kuna ndugu yalishamkuta hayo,walipotolewa vi2 kazini wakawa wanahisiana kuwa miongoni mwao kuna mmoja wao amewazunguka!ndio mmoja wao akawaambia waende maeneo ya tandika sudan kuna mtaalam wa tv ya asili!walipofika wakapewa dawa ya kunywa huku wakiambiwa wanuie ki2 wanachotaka kukiona!anasema baada ya kunywa ile dawa alihic kichwa chote kimevurugika,na akiangalia ukutani anaona kama zile chenga chenga za tv!badaye akaanza kuona maeneo ya ofic yake!m2 anaingia na kuchukua vi2,ila sura haitambui ikawa hivyo,hakuweza kumtambua,kasheshe ilikuwa ucku tumelala,anapiga kelele eti akiangalia ukutani anaona tv(mchele mchele)ilimchukua wiki nzima kurudi normal!kumbe na wale wenzake hali ilikuwa ni vile vile"usithubutu ndugu ni utapeli tu hakuna lolote!
   
 4. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Jipange upya ndugu yangu, mambo mengine utapotea bure kabisa.

  Hata hivyo dini inakataza.
   
 5. mangi waukweli

  mangi waukweli JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hii yasudani niliwahi kusikia na inasemekana ukishanyweshwa iyo dawa mnaingizwa kweny chumba chenye giza nene alafu macho nasikia yanabadilika yanakua kama ya paka aliye kwenye giza ukimuangalia mwenzako baada ya hapo kichwa kinauma inabidi umwagiwe maji na pia inasemekana ata joint za miguu zinafeli, kwakweli hii ya sudan ni utapeli lakini nasikia huu utaala upo na watu wanafanikiwa haswa mikoani bila ata ya kunyweshwa dawa hebu tusubiri kidogo
   
 6. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,125
  Likes Received: 7,374
  Trophy Points: 280
  Hii TV ya asili wangezitangaza tu tukawa tunazinunua pale Mlimani City kwa bei nzuri tu maana importation cost na other charges hakuna.

  Wajua haya ma-samsung yao na LG wanatugonga sana bei.
   
 7. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,341
  Likes Received: 2,351
  Trophy Points: 280
  Hakuna kitu kama hicho mi yalinikuta unajua ikatokea nini?
   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,250
  Trophy Points: 280
  Mweeh! Great thinker indeed.
  Pitia kwanza thread humu confession ya mwenzio mganga wa kienyeji alimnyonya nanihii, wewe sijui atakunanihii naniliu kwenye nonino?
   
 9. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 744
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Ilitokea tukaibiwa nyumbani mwaka 2000 kama sijakosea, tukasikia hayo mambo ya tv asili na kwa sababu tulihisi mchezo umechezwa na majirani,basi mm na mdogo wangu tukaenda kwa mganga wa tv asili pale maeneo ya msewe.Nakumbuka tulimbiwa dawa ni tsh20000, basi tuka mwambia yule dada sisi tuna 10,000 kwa sababu ni watoto wenyewe ndio tumeamua kuja bila wazazi kukubali,ila kama tukiona hivyo vitu tutaleta hela nyingine naye akakubali.

  Dogo akagonga kikombe na mm kwa sababu ya woga nilikataa.Akaambiwe akar nje kwenye jua kama wenzake wengine tulio wakuta mida ya saa tano asubuhi.Dogo alipigwa na jua, kila nikimuuliza vipi, anasema anasikia kulewa.Tulipoza siku nzima pale hakuna alichoona na hata wale wateja wengine nao ilikuwa hivyo hivyo.

  Kila nikikumbuka hili tukio, huwa na kubaliana na ule msemo kuwa "wajinga ndio wali wao".

  Achana na huu upuuzi, ni wizi mtupu.Jipange upya.Zaidi ya hapo utafanywa mjinga kama sisi.

  Sent from my LT26i using Tapatalk 2
   
 10. M

  My Mud Senior Member

  #10
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 109
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  kama Mimi vileee.
   
 11. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  Tuliibiwa vitu mbalimbali pale Mlimani City, rafiki wa Mr, akampeleka kwa mganga mwenye Tv asili.
  Huko akapakwa dawa usoni ili aweze mwona mwiziwe kwenye tv.
  Aliporudi home, alirudi sura imevimba, macho yamekuwa mekundu na akiwa kama kapumbazwa. Hali hiyo alikaa nayo kwa siku tatu.
  Nenda!!!!!!!
   
 12. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Acha kupoteza muda hilo limepita, think about how to replace your stuffs! Mwisho waganga wataiba na akili zako
   
 13. ChaMtuMavi

  ChaMtuMavi JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 333
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  He he he eheeee, pole sana, bila huruma mkaibiwa tena! ama kweli safari moja huanzisha nyingine.
  Kwa kweli sikupi pole, hata nikisema uliibiwa mara ya pili nitakose, hii uliamua kuchangia unga wa mganga...
   
 14. mangi waukweli

  mangi waukweli JF-Expert Member

  #14
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  lakini mbona nasikia kuna watu wanafanikiwa na hii technology inakuaje au inategemea mtu na mtu
   
 15. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #15
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,892
  Trophy Points: 280
  hakuna kitu kama hicho
   
 16. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 4,109
  Likes Received: 1,499
  Trophy Points: 280
  kati ya watu wote waliotoa ushuuda hakuna hata mmoja aliyefanikiwa kwa kifupi hawa jamaa ingawa hawakwenda shule wana saikolojia ya kuzaliwa hakuna kitu kama hicho
   
 17. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #17
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  In utapeli tu
  Ile dawa in Ania ya kilevi Kama Nusu kaputi,ukiinywa unatakiwa ukae juani ireact na kukuchanganya fahamu,then ukikaa mahali ukaconcetrate kuangalia ukuta utaona Kama maruweruwe(mfano Kama unaompata mtu kabla hajafanyiwa operesheni)ukichanganya na Mawazo ya kuibiwa na hisia unaweza kuona imaginations fulani ambazo si kweli....
  then after wanakupa maziwa kuondoa toxic ulizonyweshwa..
  wajinga ndio waliwao
   
 18. salito

  salito JF-Expert Member

  #18
  Oct 21, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  Kweli mjini shule
   
 19. w

  watambi Senior Member

  #19
  Oct 21, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Wee unahamu ya kuibiwa
  tena
   
 20. M

  Mfikilwa JF-Expert Member

  #20
  Oct 21, 2012
  Joined: Mar 11, 2008
  Messages: 363
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  ni imani tu, mie niliwai kuibiwa, cha kwanza nilienda polisi kutowa ripoti na siku ya pili yake nikaelekezwa kwa mzee mmoja magomeni mapipa, akaniuliza siku ngapi zimepita toka uibiwe, nikamwambia ni jana tu, akasema vitu vyako utavipata, ajanipa dawa wala nini,siku ya iliyofuata polisi wananipigia simu kwamba mwizi ameenda polisi kujisalimisha na vitu vyangu vyote. sasa sijui mkwala wa huyo dingi ama nini,

  yapili niliwai kuibiwa spea dukani kwangu, mwizi aliiba turbo, nikasema ngoja niende tena kwa huyo mdingi, kilichofuata siku ya pili tumeikuta turbo imewekwa nje ya duka, mdingi ajanipa dawa yoyote ninywe wala chochote sijui nifanye nini.
   
Loading...