Recent content by champline

  1. champline

    Msaada: Namtafuta dereva wa lori la mafuta lililopata ajali Morogoro

    We zungumza hivyo tu kwa sababu hayajawahi kukukuta siku yakikukuta utawachukia hao majizi wqnaovyamoaga magari baada ya ajali na kupora badala ya kuokoa uhai wa watu.
  2. champline

    Rais Magufuli: Si wote walikuwa wezi wa mafuta

    Ondoka Basi nenda kaishi huko kwenye hizo nchi ambapo wananchi wake wote ni matajiri,hujalazimishwa kuishi Tanzania ya wajinga Kama mimi mkuu.
  3. champline

    Rais Magufuli: Si wote walikuwa wezi wa mafuta

    Unaweza kututhibitishia kwamba ni kipindi gani labda tangu uumbwaji wa hii ardhi kuwa watu wake hawakuwa masikini?au na wewe umeamua tu kujilipua ujipungizie stress zako mwenyewe!!otherwise Kama ardhi hii iliyokuja kuitwa Tanzania uwepo wake ulianza pamoja na ccm hapo unaweza kuwa sahihi
  4. champline

    Msaada: Namtafuta dereva wa lori la mafuta lililopata ajali Morogoro

    Pale wakati huo kulikuwa na kundi la majizi na majambazi so hawakuwa na muda wa kuokoa mtu.huo ndio ukweli wenyewe ingawa ni mgumu na mchungu kuusema.
  5. champline

    Tukio la ajali ya lori la mafuta lililosababisha vifo: Je ujumbe umefika kwamba wanaolalamika ugumu wa maisha sio wapiga dili kama ilivyozoeleka?

    Acheni kutumia sababu za kijinga kuhalalisha hoja zenu!!!lile hata lingekuwa Basi la abiria waswahili wangekimbilia kuiba na kuacha kuokoa wahanga,na tabia za wizi hazina masikini Wala tajiri ni hulka ya mtu!!!so hivi viposti vyenu vya hovyo hovyo kujaribu kuhalalisha wizi ili tu mpate uhalali...
  6. champline

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Jana tumewazalisha 4kids kea mpigo,vidume man u.
  7. champline

    Dereva wa gari lilopata ajali Morogoro

    Ndio uone binadamu tulivyopoteza utu.yaani kwao Mali ilikuwa Bora kuliko binadamu mwenzao.pole Sana kwa familia ya abiria wa huyo bodaboda aliyeamua kufa akiwasaidia dereva na Mama waliokuwa wamebanwa kwenye gari.serikali ingefanya jitihada atambulike ili japo kuisaidia familia yake...
  8. champline

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Wakuu Mimi msimu huu nimeanza kabisa mazoezi ya kujiandaa kisaikolojia kupokea chochote kitakachokuja upande wetu man u,mpango wa kuumia na kukondeana kisa man u kafungwa naupinga kwa nguvu zote msimu maana hata sielewi kinaenda kutokea nini.so tukifungwa sawa tukishinda poa tukitoa drop mukide...
  9. champline

    Je, Rais Magufuli atahudhuria kikao cha UN General Assembly cha mwaka huu?

    Kwa hiyo wote hao alikuwa anazungumzia nao kisukuma au?
  10. champline

    Je, Rais Magufuli atahudhuria kikao cha UN General Assembly cha mwaka huu?

    Kwani umeambiwa kuwa Hana wasaidizi?kwa maana nyingine unataka kututhibitishia kuwa hata wageni wote waliowahi kumtembelea hapa tz nao ni washamba kuliko hao atakaoenda kukutana nao huko UN?Kama sio wote washamba aliwezaje kuwasiliana nao na akashindwa kuwasiliana na hao wengine huko UN? Acheni...
  11. champline

    Akikutongoza kwa njia ya kuchat WhatsApp utafanyaje?

    Naweza kumtetea huyo mwanamke au pia kuusema ukweli,kiuhalisia hakuna mwanamke mwenye staha anayependa kuzaa watoto wa baba tofauti tofauti so hata Kama alizaa na jamaa kimakosa au hata Kama hakuwa na hisia nae Hawa viumbe hutanguliza Sana familia so atakaa akisubiri kwa imani kuwa huenda ipo...
  12. champline

    Je, Rais Magufuli atahudhuria kikao cha UN General Assembly cha mwaka huu?

    Wewe nawe unajiita mjanja daaaah dunia ina mengi Sana!!!kwa hiyo kule UN wanaenda wanaojua kubwabwaja kiingereza wengine ambao wewe unawarefer Kama washamba coz hawakijui hawastahili kwenda sio?yaaani hapo ndipo upeo wako wa kufikiri ulipoishia?na bado unamlalamikia JPM kusababisha umasikini...
  13. champline

    Said Fella: Harmonize kama ameondoka ni vizuri akiaga

    Jamaa Hana shukurani yaaani daimond amemsadia Sana Hadi kamruhusu kumkopi lakini Leo anajiona amekua.kuna nyimbo za dogo usipokuwa makini utajua kuwa ni sauti ya diamond kabisa.
  14. champline

    Said Fella: Harmonize kama ameondoka ni vizuri akiaga

    Sasa ngoja tuone Kama atamzidi diamond
Back
Top Bottom