champline
Senior Member
- Dec 3, 2018
- 181
- 243
Kwani umeambiwa kuwa Hana wasaidizi?kwa maana nyingine unataka kututhibitishia kuwa hata wageni wote waliowahi kumtembelea hapa tz nao ni washamba kuliko hao atakaoenda kukutana nao huko UN?Kama sio wote washamba aliwezaje kuwasiliana nao na akashindwa kuwasiliana na hao wengine huko UN?Tatizo lake ni kubwa zaidi ya kutojua lugha. Intellectual inefficiency ndio shida kubwa kabisa. Anajua pia kuwa waandishi atakaokutana nao huko watamuuliza maswali ya kumuabisha (na kukataa kuongea nao itakuwa aibu kubwa zaidi).
Acheni tabia za kudhalilisha utu wa mtu jifunzeni kupambana kwa ushindani wa Sera na mambo ya maendeleo.yaani kipindi hiki ukisikia wapinzani wametoka hadharani kuzungumza jua wanaattack utu na sio Sera!!!